19/09/2026
Subaru Forester 2016/2018, comfort, performance na adventure katika gari moja. ππ₯
Inakupa safari yenye utulivu, nafasi nzuri na uwezo wa kuhimili mazingira tofauti. Ni chaguo zuri kwa matumizi ya kila siku na safari za mbali.
π° Bei: TZS 55,000,000
Ipo tayari kwa ajili yako! Karibu Victoria ujinufaishe. π
π Call/WhatsApp: 0677 776 500
π New Bagamoyo Road, next to International Eye Hospital