VukaBoda_Magari

VukaBoda_Magari Tunaagiza Magari toka Japan, Ulaya na Dubai. Tunafanya Clearing ya Magari, Containers na Mizigo yote

Karibu VukaBoda_Magari
05/02/2022

Karibu VukaBoda_Magari

05/02/2022
Hii ni Meli ya Magari, ipo Bandari ya Dar es salaam. Bandari ya Dar es salaam ni ni salama, na inamiundombinu yote muhim...
07/08/2021

Hii ni Meli ya Magari, ipo Bandari ya Dar es salaam. Bandari ya Dar es salaam ni ni salama, na inamiundombinu yote muhimu kwa shughuli za kupakua na kupakia Mizigo.

Karibu VukaBoda_Magari uagiziwe gari!

Unaonaje ukae kwenye Toyota IST?  Itazame na k**a umeipenda tuwasiliane, Tuagize toka Japan. Karibu VukaBoda_Magari, Kwa...
20/07/2021

Unaonaje ukae kwenye Toyota IST? Itazame na k**a umeipenda tuwasiliane, Tuagize toka Japan.
Karibu VukaBoda_Magari, Kwa Huduma Bora na Zenye Uhakika.
Kipaombelechetu ni Uaminifu!

Haya Wadau Wangu, Nawaletea Nissan Dualis, 2008 Black and Silver zipo Japan. Je umeipenda ipi? Karibuni Sana. Tunaagiza ...
15/07/2021

Haya Wadau Wangu, Nawaletea Nissan Dualis, 2008 Black and Silver zipo Japan.
Je umeipenda ipi? Karibuni Sana.

Tunaagiza na Kufanya clearing ya Magari Bandarini, Tunashauri na kukupa gharama halisi za Gari utakaloagiza.

Kwawale Wapenzi wa Harrier New Model, Karibuni tunaagiza kutoka Japan, Tunafanya clearing Bandarini, Tunakusaidia kujua ...
14/07/2021

Kwawale Wapenzi wa Harrier New Model, Karibuni tunaagiza kutoka Japan, Tunafanya clearing Bandarini, Tunakusaidia kujua gharama sahihi ya Kuagiza gari, Usajili na Bima.

Chombo ipo majini, Imeshatoka Japan hiyo. Noah New Model, Karibu na uagize nasi VukaBoda_Magari, usisite kuwasiliana nas...
12/07/2021

Chombo ipo majini, Imeshatoka Japan hiyo.

Noah New Model, Karibu na uagize nasi VukaBoda_Magari, usisite kuwasiliana nasi. +255 713 963 020

Address

P. O Box
Dar Es Salaam
42861

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VukaBoda_Magari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VukaBoda_Magari:

Share