SANGA SPARE

Call Directions

SANGA SPARE WAUZAJI WA SPARE ZA PIKIPIKI JUMLA NA REJAREJA,TUNAPATIKANA KARIAKOO MTAA WA DONGE NA SWAHILI🇹🇿

22/11/2026

SHILINGI 7,988,000/= IMETOSHA! 🔥

Mteja wetu ameweza kuanza safari yake ya biashara ya kuuza spare za pikipiki kwa mtaji wa TSh 7,988,000 tu!

Na wewe unaweza kufungua duka lako hata k**a huna uzoefu wa biashara hii. Sisi SANGA SPARE PARTS tunakupa elimu, muongozo sahihi na kukusaidia kuchagua mzigo kulingana na soko lako.

Usiogope kuanza, biashara inaanza na hatua moja!

📞 Piga simu: 0658988988

SANGA SPARE PARTS – ELIMU KWANZA, BIASHARA BAADAYE!
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

21/11/2026

USIPOTEZE FURSA YA MAISHA! 🔥

Sisi SANGA SPARE PARTS tumekuwa kwenye biashara hii kwa muda mrefu sana. Tuna uzoefu mkubwa na tayari tumewafungulia mamia ya wateja wetu biashara ya kuuza spare za pikipiki, na wengi wao wamefanikiwa kutimiza malengo yao.

Tunachokifanya si kukuuzia spare pekee, bali tunakupa ELIMU, UZOEFU NA MUONGOZO SAHIHI wa kuanzisha biashara yako kwa kuzingatia soko lako.

Hata k**a hujawahi kufanya biashara hii, usiogope. Tupo tayari kukuongoza hatua kwa hatua mpaka ufungue duka lako.

KARIBU SANGA SPARE PARTS — UJIFUNZE, UANZE NA UJENGE MAISHA YAKO!

📞 0658988988
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

19/11/2026
18/11/2026

🚀 UPO MBALI? UMEBANWA NA SHUGHULI ZA KAZI? HILO LISIKUZUIE KUFUNGUA DUKA LAKO LA SPARE ZA PIKIPIKI!

Sanga Spare Parts tunakurahisishia kila kitu. Hata k**a upo mkoa mwingine au una majukumu mengi ya kazi, tunaweza kukusaidia kuanzisha biashara yako bila kulazimika kufika Dar es Salaam.

✅ Tunakupa elimu ya biashara.
✅ Tunakuongoza kuchagua mzigo kulingana na soko lako.
✅ Tunakutumia mzigo popote ulipo.
✅ Tunakuwezesha kufungua duka lako hata ukiwa mbali.

Usisubiri mpaka upate muda ndipo uanze kujiajiri. Anza kupanga maisha yako ya kibiashara leo!

📍 SANGA SPARE PARTS – Donge na Swahili, Kariakoo.
📞 0658988988

SANGA SPARE PARTS – Tunakupa elimu, muongozo na msaada wa kuanzisha biashara yako popote ulipo!
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

17/11/2026

🔥 MTaji WA TSH MILIONI 25.5 UNATOSHA KUANZA BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI! 🏍️

Huyu ni mteja wetu ambaye ameamua kuchukua hatua ya kujiajiri na kujenga chanzo chake cha kipato kupitia biashara ya spare za pikipiki.

Jambo la muhimu si kuwa na mtaji mkubwa pekee, bali kupata ELIMU, UJUZI NA MUONGOZO SAHIHI kabla ya kuanza biashara hii.

SANGA SPARE PARTS tunakuongoza hatua kwa hatua:
✅ Tunakupa elimu ya biashara.
✅ Tunakushauri kulingana na mtaji wako.
✅ Tunazingatia aina ya soko la eneo lako.
✅ Tunakuchagulia mzigo unaoendana na mahitaji ya wateja wako.

Usiogope k**a huna uzoefu. Unaweza kuanza hata ukiwa mbali nasi.

📍 Tunapatikana Mtaa wa Donge na Swahili.
📞 0658988988
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

15/11/2026

SHILINGI MILIONI 10 zinamtosha mteja huyu kuanza biashara ya kuuza SPARE ZA PIKIPIKI! 🏍️

Kupitia SANGA SPARE PARTS, tunampa ELIMU, tunamchagulia bidhaa zinazoendana na SOKO lake na tunamuongoza hatua kwa hatua mpaka kufungua DUKA lake.

Hata k**a huna uzoefu, usiogope kuanza. Tunakuongoza kwa njia sahihi!

SANGA SPARE PARTS – ELIMU KWANZA, BIASHARA BAADAYE.

📍 Donge na Swahili
📞 0658988988
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

13/11/2026

🏍️ HUJUI NAMNA YA KUANZA BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI?

Usiwe na wasiwasi! Karibu SANGA SPARE PARTS tukupatie ELIMU na kukuongoza hatua kwa hatua namna ya kuanza biashara hii.

Hata k**a huna uzoefu wala ujuzi wa spare za pikipiki, tutakuonyesha njia sahihi ya kuanza, kuchagua bidhaa zinazoendana na soko lako na kufungua duka lako.

USIOGOPE KUANZA, TUNAWEZA KUKUONGOZA!

📍 Sanga Spare Parts – Donge na Swahili
📞 0658988988

SANGA SPARE PARTS – ELIMU KWANZA, BIASHARA BAADAYE!
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

12/11/2026

🔥 WANAWAKE WANAZIDI KUCHANGAMKIA FURSA YA BIASHARA YA SPARE ZA PIKIPIKI! 🔥

Huyu ni mmoja wa wanawake ambao wameamua kujiajiri. Tumemfungulia DUKA lake la spare za pikipiki kwa mtaji mdogo kabisa, licha ya kwamba mwanzoni hakujua chochote kuhusu spare za pikipiki.

Kupitia SANGA SPARE PARTS, amepata ELIMU, MUONGOZO SAHIHI na bidhaa zinazoendana na soko lake.

Usikose fursa kwa sababu huna uzoefu. Hata k**a hujui chochote, tunaweza kukuongoza mpaka ufungue duka lako.

📍 SANGA SPARE PARTS – Donge na Swahili.

Call/sms/whatsapp +255658988988
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS
SANGA SPARE PARTS

Address

Dar Es Salaam
123

Telephone

+255658988988

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SANGA SPARE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share