30/05/2026
๐จ๐ก๐๐ง๐๐๐ ๐๐จ๐๐ก๐ญ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐ฆ๐ฃ๐๐ ๐ญ๐ ๐ฃ๐๐๐๐ฃ๐๐๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฒ? ๐๐จ๐จ ๐ก๐๐๐ข ๐ ๐ช๐ข๐ก๐๐ข๐ญ๐ข ๐ช๐๐๐ข!
Swali Ambalo Wengi Wamekuwa Wakiuliza Ni Hili:
โNahitaji Mtaji Kiasi Gani Kuanza Biashara Ya Spea Za Pikipiki?โ
Leo nakujibu Kwa Ufupi, kwa Uhalisia, Na Kwa Mtindo Utakaokusaidia Kuchukua Hatua
1๏ธโฃ ๐ ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐ญ โ ๐ฏ ( ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ก ๐ ๐ข๐๐ ๐ ๐ฃ๐๐๐ ๐ง๐๐ง๐จ)
Hapa unaanza kidogo lakini kwa uhakika.
Utapata spea muhimu za kuanzia โ chache lakini zenye mzunguko mzuri wa mauzo.
Hii ni hatua ya kwanza ya kujifunza soko na kujenga wateja.
2๏ธโฃ ๐ ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐ฏ โ ๐ฑ ( ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ก ๐ง๐๐ง๐จ ๐ ๐ฃ๐๐๐ ๐ง๐๐ก๐ข)
Biashara inaanza kuonekana!
Utakuwa na bidhaa zaidi kutoka kwenye engine, body hadi urembo wa pikipiki.
Chaguo sahihi k**a unataka kuanza kujiimarisha sokoni.
3๏ธโฃ ๐ ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐ฑ โ ๐ญ๐ฌ ( ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ก ๐ง๐๐ก๐ข ๐ ๐ฃ๐๐๐ ๐๐จ๐ ๐)
Hapa sasa unaingia serious
Duka lako linaanza kuvutia na kuwa na variety kubwa ya bidhaa.
Mauzo yanaongezeka, faida inaanza kuonekana vizuri.
4๏ธโฃ ๐ ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐น๐ถ๐ผ๐ป๐ถ ๐ญ๐ฌ โ ๐ญ๐ฌ๐ฌ ( ๐ ๐๐๐๐๐ข๐ก ๐๐จ๐ ๐ ๐ ๐ฃ๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐จ๐ ๐๐)
Hii ni level ya juu
Unaweza kuuza kwa rejareja na hata jumla (wholesale).
Bidhaa k**a brake shoe, cable, tyre na oil zinakupa faida kubwa zaidi.
๐จ๐ฆ๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐ ๐๐จ๐ช๐ ๐ก๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ง๐จ ๐ก๐๐๐ข ๐จ๐๐ก๐ญ๐!
Ukweli ni huu:
๐ Biashara Hii Unaweza Kuanza Na Mtaji wowote kati ya hapo juu
๐ Kila hatua ina faida yake
๐ Kikubwa ni KUANZA
๐ฒ Wasiliana Nasi Sasa Hivi:
๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ / ๐ฆ๐ถ๐บ๐:
+255 743 363 224