Thomson Vennance

Directions Contact the business

Thomson Vennance Its all about
Car auto electric and electronics works
Key programming
Chip tunning
Automotive works

29/10/2026
16/10/2026

🔥 BMW F25 STEERING UPGRADE — OLD LOOK OUT, NEW EXPERIENCE IN! 🔥🚀

Kwanini uendelee na muonekano wa zamani wakati unaweza kuipa BMW yako muonekano wa kisasa zaidi? 😎💯

Safari hii tumefanya STEERING WHEEL UPGRADE kwenye BMW X3 F25! 🏎️🔥

✅ Tumeondoa steering wheel ya zamani
✅ Tumefunga upgraded Sport Steering Wheel
✅ Imeongezewa Paddle Shifters kwa urahisi wa kubadilisha gears
✅ Muonekano mpya, wa kisasa na wa kimichezo
✅ Installation imekamilika na kila kitu kipo safi 💯

💎 Sio lazima ubadilishe gari ili ufurahie features mpya. Wakati mwingine unahitaji UPGRADE tu!

Hapa AUTOTRONICS SOLUTION, hatutengenezi magari pekee — tunayapa maisha mapya! 🔥

📍 Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿
📞 +255 719 553 337

AUTOTRONICS SOLUTION
You Drive It, We Fix It. 🚘⚡

PaddleShifters BMWTanzania BMWCoding CarModification DarEsSalaam

😂😂 HATA UKIVAA HILI KOTI, SISI TUNAKUTENGENEZEA GARI BILA SHIDA YOYOTE! 🚗⚡🔧Autotronics Solution hatuangalii mavazi—tunaa...
12/09/2026

😂😂 HATA UKIVAA HILI KOTI, SISI TUNAKUTENGENEZEA GARI BILA SHIDA YOYOTE! 🚗⚡🔧

Autotronics Solution hatuangalii mavazi—tunaangalia tatizo la gari lako na kulipatia suluhisho sahihi! 😎

📍 Advanced Car Diagnostics
🔑 Key Programming
💻 ECU/TCU Programming & Coding
⚡ Electrical & Mechanical Repairs

Autotronics Solution — Gari lako likisumbua, tupigie sisi! 😂🔥

10/08/2026

Welcome to the Tanzanian Premier Europeans Cars solution company Autotronics Solution Tanzania

📞+255 (0) 719 553 337

All mechanical, electrical and software work undertaken.

🗝️Key programming services

-All key lost ( Umepoteza Funguo Zote )
-Key duplication (Kuongeza Funguo)
-Key Case change & Upgrade
-Defective key repair

🔧ECU/TCU Tuning:

-Used ECU cloning , matching & Reprogramming
-Stage 1/2/3
- Pops & Bangs
-DPF/EGR/AdBlue Delete.
-CAT off
-Swirl Flap/Sec. Air Pump and DTC Deletes.
-XHP Flash

💻Coding

BMW

-E F G I SERIES, MINI & Rolls Royce.
-Map Updates and lifetime FSC codes.
-All OEM retrofits and programming undertaken
-FRM Programming
-New and Used ECUs programming & Retrofit
-Software updating (Engine, Transmission, fuel pump etc)
Add Service History.
-Dealer Level diagnostic

Mercedes Benz

-New and Used module coding.
-Used cluster adaptation
-Map Updates
-AMG Boot Logo
-Video in Motion
-Analog Engine Details
-CarPlay/Android Auto

VAG (VOLKSWAGEN GROUP)

-Components Protection Removal
-Map Updates
-Video in Motion
-Analog Engine Details
-CarPlay/Android Auto
-Performance Monitor
-Full feature Coding
-New and Used module coding
-Online module coding
-Software Updates

Any inquiries on your car

Call: +255 (0) 719 553 337

“You drive it, we fix it”

07/08/2026

🚗✨ BMW Z4 imepata upgrade ya kisasa!

Mteja wetu alihitaji zaidi ya funguo ya kawaida, hivyo tumemfungia LCD Smart Touch Key yenye teknolojia ya kisasa kabisa.

✅ Fungua na funga gari kwa button
✅ Tumia touch screen kudhibiti funguo
✅ Smart key – weka funguo mfukoni, fungua na washa gari bila kuitoa mfukoni.
✅ Rechargeable battery – hakuna usumbufu wa kubadilisha betri. Chaji moja inaweza kudumu kwa miezi 3 au zaidi, kutegemeana na matumizi.

Tumefanya programming na pairing kwa usahihi, na sasa funguo inafanya kazi zote k**a ilivyokusudiwa kutoka kiwandani. 💯

Je, unataka kuongeza Smart LCD Key kwenye BMW yako au umeharibikiwa na umepoteza funguo?

📍 Karibu Autotronics Solution kwa huduma za:
🔑 Key Programming
💻 ECU Coding & Programming
🚘 BMW Coding
⚡ Diagnostics za kisasa
🛠️ Electronic Module Repair

Autotronics Solution – Tunaleta teknolojia ya kisasa kwenye gari lako.
BMWCoding KeyProgramming BMWLife CarTech DarEsSalaam

Address

Sinza Mori, Shekilango Road, Behind GBP Petrol Station, Mottocars Auto Works
Dar Es Salaam
13069

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thomson Vennance posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Thomson Vennance:

Shortcuts

Share

Nearby autos & automotive services