27/07/2026
📱 UMEWAHI KUFUTA NOTIFICATION KWA BAHATI MBAYA?
Watu wengi hawajui kwamba Android ina Notification History, feature inayohifadhi notifications zako hata ukizifuta kwa bahati mbaya.
✅ Umefuta OTP? ✅ Umefuta notification ya benki? ✅ Umefuta ujumbe muhimu?
Usihofu... unaweza kuzirudisha kwa kutumia feature hii (baada ya kuiwasha).
🎥 Tazama video hii ujifunze jinsi ya kuiwasha ndani ya dakika moja.
💬 Je, ulikuwa unaijua feature hii? Andika "NDIO" au "HAPANA" kwenye comments.
...