22/10/2024
"Mud flaps bora kwa Ford Ranger na Toyota Hilux zinapatikana! Linda gari lako dhidi ya matope, mawe, na uchafu huku ukiongeza muonekano maridadi.
Zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na zinafaa kikamilifu. Pata zako leo kwa ulinzi thabiti barabarani na nje ya barabara. Stock ni chache!"
📞Wasiliana nasi 0687640720
delivery hadi mkoani✅