Pison Headlight Restoration

Pison Headlight Restoration We are an Auto Detailing Company specializing in restoring yellowed or aged headlights to bring back

20/04/2019

Pison Headlight Restoration ni wataamu wa kurejesha ubora wa taa yako katika upya. Kwa garama ndogo kabisa ya shilingi 30000/= tunarejesha taa zako zilizofubaa na kuzeeka. Haijalishi ziko katika hali gani au ni za aina gani tunazirudisha katika hali ya upya.

Faida za kuchagua huduma yetu;

1.Gari kuwa na muonekano mzuri zaidi k**a gari mpya
2.Kupunguza ajali kwa taa zako kua na mwangaza mzuri wakati wa usiku
3.Unaokoa garama kubwa ya kununua taa mpya.

*Hakuna ubabaishaji unalipa baada ya kuridhika na mng'ao wa taa zako*

Karibu tukuhudumie :)

Address

Old Moshi
0306

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255689696690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pison Headlight Restoration posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pison Headlight Restoration:

Share