Marenga Animal Feeds

Call Directions Contact the business

Marenga Animal Feeds 🐓Wazalishaji wa Vyakula vya Mifugo
💊Wauzaji wa Chanjo na Madawa ya Mifugo
🌽Wazalishaji wa Unga Bora wa Sembe

14/10/2026
🐔 Wafugaji, vifaa bora vinapatikana Marenga Vet!Feeders. drinkers za kuku, ni***es na vifaa vya ufugaji vyote vinapatika...
07/10/2026

🐔 Wafugaji, vifaa bora vinapatikana Marenga Vet!
Feeders. drinkers za kuku, ni***es na vifaa vya ufugaji vyote vinapatikana Marenga, jumla na rejareja. 🐔
📍 Kiboriloni, Moshi
📞 0758828750 | 0743408350

Happy Customer Service Week
06/10/2026

Happy Customer Service Week

Uzalishaji mzuri wa mayai huanza na chakula bora na chenye uwiano sahihi wa virutubisho. Marenga Animal Feeds tunakupa c...
05/10/2026

Uzalishaji mzuri wa mayai huanza na chakula bora na chenye uwiano sahihi wa virutubisho. Marenga Animal Feeds tunakupa chaguo mbalimbali kulingana na hatua na mahitaji ya kuku wako: Tuna vyakula kwa ajili ya kuku chotara, kienyeji pamoja na kuku wa mayai.

🐣 Pullet Starter & Pullet Grower
🌾 Chick Premium Mash & Grower Premium Mash
🥚 Layers Premium Mash & Super Layers Mash
🌾 Starter, Grower & Layers Mash – zikiwa na vyanzo vya protini vya soya au dagaa.

👉 Chagua chakula sahihi. Lisha kwa usahihi. Ongeza uzalishaji.

📍 Kiboriloni, Moshi
📞 0758 828 750 | 0743 408 350
Marenga Animal Feeds — Vyakula Bora, Matokeo Bora. 🐔🥚

CHAKULA BORA, MAZIWA ZAIDI! Marenga Dairy Meal ni lishe bora kwa ng'ombe wa maziwa, iliyotengenezwa kusaidia ng'ombe wak...
19/08/2026

CHAKULA BORA, MAZIWA ZAIDI!

Marenga Dairy Meal ni lishe bora kwa ng'ombe wa maziwa, iliyotengenezwa kusaidia ng'ombe wako kupata virutubisho muhimu kwa uzalishaji wenye tija. Ipo katika mfumo wa mash na pia pellets!

📍 Tunapatikana Kiboriloni, Moshi
📞 0758828750 | 0743408350

Heri ya siku ya Nane Nane
08/08/2026

Heri ya siku ya Nane Nane

Habari njema kwa wafugaji! Bio - Plus sasa inapatikana Marenga Vet Centre.Karibu ujipatie bidhaa bora za afya ya mifugo ...
27/07/2026

Habari njema kwa wafugaji!

Bio - Plus sasa inapatikana Marenga Vet Centre.
Karibu ujipatie bidhaa bora za afya ya mifugo pamoja na ushauri wa wataalamu.

📍 Kiboriloni, Moshi 0758828750

24/07/2026

Mifugo yenye afya ni faida yako!
Uwekezaji wako kwenye mifugo unastahili huduma bora na za kitaalamu. Karibu Marenga Vet Centre, tunakupa suluhisho sahihi kuanzia dawa bora, chanjo, madini, vyakula pamoja na ushauri wa kitaalamu!
Tupo Moshi, Kiboriloni

Heri ya Saba Saba! Tunathamini juhudi za kila mfugaji katika kuendeleza ukuaji wa uchumi binafsi, familia na taifa kwa u...
07/07/2026

Heri ya Saba Saba!
Tunathamini juhudi za kila mfugaji katika kuendeleza ukuaji wa uchumi binafsi, familia na taifa kwa ujumla! Marenga Animal Feeds tupo pamoja kwenye kila hatua! Chagua Marenga Animal Feeds kwa lishe bora na matokeo bora kwa mifugo yako.

📍 Kiboriloni, Moshi
📞 0758828750 | 0743408350

📍 Kabuku, Zamu Yenu Imefika!Popote ulipo, Marenga Animal Feeds iko karibu nawe.Kwa ukuaji wa haraka, afya bora na matoke...
27/06/2026

📍 Kabuku, Zamu Yenu Imefika!

Popote ulipo, Marenga Animal Feeds iko karibu nawe.

Kwa ukuaji wa haraka, afya bora na matokeo yenye faida, chagua vyakula vya nguruwe vinavyoaminika:
✅ Pig Starter Pellet
✅ Pig Grower Pellet
✅ Pig Finisher Pellet

Usikubali mifugo yako ikose lishe bora. Wasiliana nasi leo, tukuhudumie popote ulipo.

📞 0743 408 350

Marenga Animal Feeds – Chakula Bora, Matokeo Bora.

Address

Old Moshi

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255758828750

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marenga Animal Feeds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Marenga Animal Feeds:

Shortcuts

Share