J5gear Autoelectrics Garage

J5gear Autoelectrics Garage Car Diagnosis Specialist
Cars Maintenance
Mechanics, Electrics
Smart_keys & ECU Programming
DPF, EGR , ADBLUE

20/02/2026

CAR DIAGNOSIS SERVISES
K**a kuna taa yoyote inawaka kwenye dashboard ya gari yako au umekumbana na Moja ya dalili hizi karibu ofisini tukuhudumie...
⚠️Gari kukosa nguvu
⚠️Matumizi ya mafuta kuongezeka
⚠️ Misfires
⚠️Gari kushindwa au kuchelewa kuwaka
⚠️Gari kutoa Moshi kuliko kawaida..nk

Tuko mwanza nera
Pia Dar es salaam mwenge

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

10/02/2026

KARIBU SANA GARAGE KWETU
Je, wewe ni mmiliki wa gari unatafuta huduma bora
Za uhakika na kitaalamu?
👉 Usisite, karibu sana.!

📍 Tunapatikana:
✔️ Dar es Salaam – Mwenge
✔️ Mwanza – Nera

🛠️ Huduma zetu ni pamoja na:
✅ Kufanya service za magari
✅ Umeme wa magari
✅ Huduma ya diagnosis (computer check)
✅ Matengenezo ya gari kwa ujumla
✅ Key programming & mfumo wa keys

📞 Wasiliana nasi:
☎️ 0768 481 158
☎️ 0712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

02/02/2026

Mpendwa mteja ...!
⚠️Gari yako ina ulaji mkubwa wa mafuta ..?
⚠️Gari yako ina sh*tuka mara kwa mara..?
⚠️Gari yako inakosa nguvu ..?
⚠️Gari yako ina gonga kwenye miguu ..?
⚠️Gari yako ina missfire ..?

Ukiona hizi changamoto kwenye gari yako
Wasiliana nasi kwa huduma zetu

Tuko Mwanza nera pia
Tuko Dar es salaam mwenge

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

28/01/2026

Mpendwa mteja karibu leo
Upate huduma ya kubadilisha Engine Oil na Filter
Pamoja na matengenezo mengine
Ya gari yako kutoka kwa wataalamu wetu
Walio bobea na wenye uaminifu wa hali ya juu

Tunapatikana mwanza na Dar es salaam
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

25/01/2026

HUDUMA BORA ZA MAGARI
TUNA KUHUDUMIA KWA UHAKIKA 🔧🚗

Umechoka gari lako kuwaka taa za dash bila kujua tatizo..? Sisi ndiyo suluhisho lako 💪
📍 Mwanza – Nera
📍 Dar es Salaam – Mwenge

💥 Huduma zetu:
⚡ Umeme wa Magari (Electrical)
🖥️ Computer Diagnosis ya kisasa
🔧 Mechanical Problems (Injini, Gearbox, Suspension)
🔐 Programming Smart Key & Control Box
🚘 Magari ya European & Japanese
🎯 Kazi ya uhakika
🎯 Bei rafiki
🎯 Huduma ya haraka

📞 Piga sasa:
☎️ 0768 481 158
☎️ 0712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

21/01/2026

Subaru impreza engine overhaul
Tuko mwanza nera karibuni 🙏

20/01/2026
20/01/2026

Mpendwa mteja karibu leo
Upate huduma ya kubadilisha Engine Oil na Filter
Pamoja na matengenezo mengine
Ya gari yako kutoka kwa wataalamu wetu
Walio bobea na wenye uaminifu wa hali ya juu

Kwa matatizo yote ya umeme katika gari yako
K**a gari yako imewasha taa yoyote katika dashboard
Au ina dalili hizi:👇

⚠️Gari kukosa nguvu
⚠️Gari kuchelewa kubadili gear
⚠️Gari kuzimazima
⚠️Gari kuoverheat
⚠️Gari kua na missfire
⚠️Gari kutumia mafuta mengi zaidi ya kawaida
⚠️harufu kali ya mafuta wakati gari inatembea
⚠️Gari kushindwa kuwaka
⚠️Gari kutoa moshi mwingi na mzito
⚠️Gari kushindwa kuidle

Karibu ofisini kwetu tuikague kwa vifaa vya kisasa Kabisa na kuhakikisha inapata huduma bora
Naya uhakika.

Tuna patikana mwanza nera
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

20/01/2026

𝐂𝐡𝐞𝐜𝐤 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭(𝐌𝐈𝐋)⚠️
𝐇ii ni taa maalum ya tahadhari(𝐰𝐚𝐫𝐧𝐢𝐧𝐠 𝐥𝐢𝐠𝐡𝐭)
ambayo kazi yake ni kumtahadharisha dereva uwepo wa hitilafu katika baadhi ya mifumo katika gari.

𝐙ipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea taa hii kuwaka na hizi ni baadhi.
-----------------------------------------------------------------------------
1️⃣Hitilafu kwenye sensor
2️⃣𝐄𝐂𝐔 kuhitaji 𝐫𝐞𝐬𝐞𝐫𝐭
3️⃣Hitilafu katika mfumo wa 𝐢𝐠𝐧𝐢𝐭𝐢𝐨𝐧
4️⃣Kufeli kwa 𝐜𝐚𝐭𝐚𝐥𝐲𝐭𝐢𝐜 𝐜𝐨𝐧𝐯𝐞𝐭𝐞𝐫
5️⃣𝐇𝐢𝐭𝐢𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐟𝐮𝐦𝐨 𝐰𝐚 𝐄𝐕𝐀𝐏
6️⃣𝐕𝐚𝐜𝐮𝐮𝐦 𝐥𝐞𝐚𝐤 ..𝐧𝐤

𝐊ama 𝐓aa hii imewaka au umekumbana na 𝐌oja ya 𝐝𝐚𝐥𝐢𝐥𝐢 𝐡𝐢𝐳𝐢...
⚠️𝐆ari kuchelewa kubadili gear
⚠️𝐆ari kushindwa kuwaka
⚠️𝐆ari kukosa /kupoteza nguvu
⚠️𝐌atumizi ya mafuta kuongezeka
⚠️𝐇arufu kali ya mafuta wakati wa uendeshaji
⚠️𝐆ari kuchemka zaidi ya kawaida(𝐨𝐯𝐞𝐫𝐡𝐞𝐚𝐭𝐢𝐧𝐠)
⚠️𝐆ari kua na Missfires
⚠️𝐆ari kuzimazima(𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐰𝐚,𝐤𝐮𝐢𝐝𝐥𝐞)
⚠️𝐆ari kutoa moshi mwingi na mzito
---------------------------------------------------------------------------
𝐂𝐇𝐔𝐊𝐔𝐀 𝐇𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐌𝐀‼️

𝐍𝐎𝐓𝐄: taa hii si ya kupuuzia endapo utaendelea
Kutumia gari yako wakati taa hii inawaka kuna hatari Ya kusababisha madhara makubwa hivyo k**a dereva unaejari gari yako hakikisha unaileta kwetu tuikague kwa vifaa vya kisasa ili tuweze kuirekebisha mapema.

Tuko mwanza nera
Kwa mawasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

WEWE NI MTEJA WETU WA THAMANI.

20/01/2026

Karibu kwa huduma bora na za kisasa kwa matatizo yote ya umeme katika gari yako k**a gari yako imewasha taa yoyote katika dashboard au ina dalili hizi:👇

⚠️Gari kukosa nguvu
⚠️Gari kuchelewa kubadili gear
⚠️Gari kuzimazima
⚠️Gari kuoverheat
⚠️Gari kua na missfire
⚠️Gari kutumia mafuta mengi zaidi ya kawaida
⚠️harufu kali ya mafuta wakati gari inatembea
⚠️Gari kushindwa kuwaka
⚠️Gari kutoa moshi mwingi na mzito
⚠️Gari kushindwa kuidle

Karibu ofisini kwetu tuikague kwa vifaa vya kisasa kabisa na kuhakikisha inapata huduma bora na ya uhakika.

NOTE: Automotive maintenance is an ongoing task and not something you wait until the last minute.

OUR SERVICE
✔️Car service
✔️Computer diagnostics
✔️Auto electrical
Tuna kuahidi huduma Bora iliyo tukuka na hatuto kuangusha

Tuko mwanza nera
Kwama wasiliano zaidi tupigie sim

☎️+255 768 481 158
☎️+255 712 872 023

DIAGNOSIS & PROGRAMMING SERVICE.


Address

Mwanza Na Dar Es Salaam
Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J5gear Autoelectrics Garage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to J5gear Autoelectrics Garage:

Share