02/12/2021
YADC YADC
Baada ya KUMJENGEA NYUMBA BIBI MBUYU,
abaye nyumba yake ilihangukiwa na mti siku kazaa zilizo pita na akawa anahisi ndani ya hema ambayo mchana mnakuwa joto sana lakini pia usiku mnakuwa baridi kali sana, na ivo kukosa usalama wake na vitu,
Vijana wa Tanganyika tv walikuja kuhojiana nasi siku ya kumgabizi nyumba iyo.
Lakini viongozi wa kambi pia walikuwepo.
Kazi za kusaidia jamii kwa maneno na vitendo bado ziko mbioni.
Vive YADC ZIMAMOTO
Vive la jeunesse la force de la Société.