Fundi A/c za Magari na Nyumba

Fundi A/c  za Magari na Nyumba Tunatengeneza na kufanya service ya A/C kwa magari aina zote

29/05/2026

RANGE ROVER SPORT(3.0L,V6) SUPER CHARGED
mteja wetu alikuja na malalamiko ya kwamba kuna sehemu alipeleka gari yake akaambiwa shida ni ac compressor, alituletea Mrema car ac kupata uthibitisho 🧐
Baada ya kufanya diagnosis tukagundua tatizo sio ac compressor yote kwa ujumla,ni part ya ac compressor ndo ilikua na tatizo(compressor magnet) πŸ› οΈ
Tuka badili ac magnet na akaendelea kuitumia k**a kawaida πŸ‘
Ukija Mrema car ac faida unayopata moja wapo ni kufanyiwa diagnosis kwa uaminifu sana na tunajaribu kila tunaloweza upate huduma kwa gharama nafuu,just imagine mteja gharama aliyotumia haifiki ata 1/4 ya gharama alizopewa awali πŸ’°
Unaitaji the best kwenye hii business? πŸ’―
Tuchek Mrema car ac πŸ“ž
0766458500 πŸ“±
0653927253 πŸ“²
"MREMA CAR AC YOU'RE ALWAYS COMFORTABLE WITH US " 😊

29/05/2026

JAGUAR SOVEREIGN 4.2, XJ6 V6
Mteja wetu wa kibada alitu chek tukamrekebishie mfumo wake wa ac πŸ‘¨β€πŸ”§
Baada ya kufika pale tuligundua haya machache,mosi hii gari ni ya 80's kwa iyo mfumo wake ulikua umeandamwa sana na leakage πŸ˜₯
Pili ni mfumo wa kizamani kwa iyo tukamshauri mteja tu design mfumo wa kisasa na ambao utakua haupatwi patwi na leak za mara kwa mara πŸ’‘
K**a una gari yako ya kizamani na unaitaji irekebishwe au ku desgn mfumo,au haina mfumo wa ac? Watu sahihi ni mrema car ac,tuchek πŸ“ž
0766458500
0653927253
"MREMA CAR AC YOU'RE ALWAYS COMFORTABLE WITH US " 😎

29/05/2026

Range Rover Sport (3.0L, V6) Supercharged
Changamoto aliyokuja nayo mteja ni akiwasha ac inakaa muda sana mpaka apate ubaridi unaofaa 🌬️πŸ₯Ά
Baada ya kufanya diagnosis tukagundua tatizo ni ac compressor ina fail πŸ› οΈπŸ˜”
Kwa huduma k**a hii na nyngne zinazofanana na izi kuhusu ac ya gari lako usisite kutuchek Mrema car ac πŸš—β„οΈ
0766458500
0653927253
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 "

29/05/2026

Landrover discovery 4(3.0)
Mteja wetu wa mtoni kijichi alitupigia simu tukamfanyie ac service, mana alikua hapati baridi kabisa japo gari ilikua mpya kabisa toka bandarini πŸ₯Άβ„️
Tukafika tukafanya inspection na kumrekebishia gari yake πŸ› οΈπŸš—
Ukiitaji huduma ya kufuatwa popote ulipo ndani na nje ya dar,tuchek πŸ“žπŸ“
0766458500 πŸ“²
0653927253,utalipia gharama za usafiri πŸ’°πŸ›£οΈ
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 "

Landrover discovery 4(3.0l)Mteja wetu wa maeneno ya kibada msikitini πŸ“žAlitupigia simu twende kumfanyia ac service πŸ› οΈTuka...
29/05/2026

Landrover discovery 4(3.0l)
Mteja wetu wa maeneno ya kibada msikitini πŸ“ž
Alitupigia simu twende kumfanyia ac service πŸ› οΈ
Tukafika na tukafanya service ya ac ikiwemo kubadilisha ac air cleaner ambazo zinapatikana ofisini kwetu 🏬
Unaitaji huduma ya kufuatwa popote ulipo? Tuchek πŸ“
0766458500 πŸ“±
0653927253,utalipia gharama za usafiri πŸ’°
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 😌""

29/05/2026

Mercedes Benz E-250
Mteja alitupigia simu tumfuate site πŸ“ž
Malalamiko yake ilikua akiwasha ac taa ya ac ina blink,then inazima na pili hapati ubaridi kabisa πŸ₯Ά
Baada ya diagnosis tukagundua shida ni short circuit kwenye ac compressor pili ni gari haikua na gas kabisa(kwa mujibu wa boss condenser na rejetor zilibadilishwa) πŸ‘¨β€πŸ”§
Suluhisho tulilochukua ni kurekebisha shida ya umeme na pili tukajaza gas na oil β›½
Huduma ya kumfata mteja popote ipo(unalipia gharama za usafiri) 🀝
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 "

29/05/2026

Toyota prius(Hybrid)
Changamoto yake ilikua haikai na gas β›½
Baada ya diagnosis tukagundua tatizo ni ac evaporator πŸ› οΈ
Suluhisho tulilochukua ni kubadilia ac evaporator πŸ’―
Kwa huduma bora ya ac ya gari yako usisite kutuchek Mrema car ac πŸ§‘β€πŸ”§
0766458500 πŸ“ž
0653927253 πŸ“²
"You're Always comfortable with us 🫢 "

29/05/2026

MERCEDES BENZ C-250
Changamoto yake ilikua ni ac high pressure pipe imetoboka,sababu ya kutoboka ilikua inaliwa na fan belt πŸ˜₯.
Solution tulizochukua ni mbili mosi tulibadili pipe,pili tulipitisha pipe sehemu inayotakiwa ili kuzuia tatizo k**a hili kujirudia badae πŸ› οΈ.
Una tatizo k**a hili au lingone lolote linalohusiana na ac ya gari yako usisite kutuchek Mrema car ac πŸ“ž.
0766458500 πŸ“²
0653927253 πŸ“ž
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 "

29/05/2026

Bmw X3
Gari hii ilikuja ofisini kwetu ikiwa na changamoto kadhaa πŸ”§
Mosi ni ilikua haikai na gas πŸ’¨
Pili ni blower fan ilikua haifanyi kazi 🌬️
Baada ya uchunguzi wa kina tukagundua ina changamoto ya rubber seal na umeme πŸ’‘
Solution tulifanya replacement ya seal na pia kurekebisha mfumo wake wa umeme πŸ› οΈ
Kwa huduma k**a hii na nyngne zozote zinazohusiana na ac ya gari yako usisite kutuchek Mrema car ac πŸš—
0766458500 πŸ“ž
0653927253 πŸ“²
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢 "

29/05/2026

Bmw x3
Changamoto iliyokuja nayo hii gari ni kwamba haitoi baridi na pia anaona moshi unatokea kwenye pipe za ac πŸ’¨β„οΈ
Baada ya diagnosis tukagundua shida ni high pressure pipe ilipasuka,na ni pipe ilikua imechoka yenyewe hakukua na sababu yeyote nyngne πŸ› οΈπŸ”§
Suluhisho ilikua ni kubadili ac pipe na kuweka nyngne βœ…πŸ‘
Kwa huduma k**a hii na nyngne zozote zinazohusiana na ac ya gari lako,usisite kutuchek Mrema car ac πŸ“žπŸš—
0766458500 πŸ“±
0653927253 πŸ“²
"Mrema Car ac You're Always comfortable with us 🫢" 😊

Address

Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255653927253

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fundi A/c za Magari na Nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fundi A/c za Magari na Nyumba:

Share