KATAVOSO COMPANY LIMITED

KATAVOSO COMPANY LIMITED Kasulu Transporters Agency And Vehicle Operation Society

KATAVOSO COMPANY LIMITED.ni kampuni inayofanya kazi zifuatazo.1=kutunza mazingira ya stendi yanakuwa salama kwa watumiaji.2=kuwaunganisha pamoja wamiliki wa magali ya abiria kamavile coster,haisi,tax, mabasi makubwa ili wfanye kaziyao ya usafilishaji kwa umoja na ushirikiano ili waweze kukabiliana na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakuta ktk kazi hiyo.kuwaunganisha waendesha pikipiki

> wafanye kazi kwa umoja na ushirikiano ili waweze kukabiliana na kutatua changamoto zinazo wakuta ktk kazi hiyo. ya usafirishaji wa abiria.4=kusafirisha abiria kwa kutumia magali ya kampuni ya katavoso.5=kusafirisha abiria kwa kushirikiana na wamiliki wamagali.

Address

Kasulu
BOX 258

Telephone

+255764467675

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KATAVOSO COMPANY LIMITED posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share