JOMIE Air Condition Services

JOMIE Air Condition Services Ac technicians located at Kahama municipal,we deal with refiling, servicing, installing and solving

Karibuni Kwa huduma ya Air conditioning System.Tunauwezo na Ujuzi wa kukuhudumia wewe mteja wetu katika ubora na kiwango...
30/03/2023

Karibuni Kwa huduma ya Air conditioning System.Tunauwezo na Ujuzi wa kukuhudumia wewe mteja wetu katika ubora na kiwango Cha juu kabisa..Tupigie au Whatsapp namba 0759376839

JACS TECH kazini.kila hatua na sala..
30/03/2023

JACS TECH kazini.kila hatua na sala..

Kazi imekamilika..Excavator
26/03/2023

Kazi imekamilika..Excavator

21/06/2021

Karibuni kwa Huduma bora

15/06/2021

Ni wakati wa kiangazi Sasa kwa Nini uteseke na joto kwenye gari lako. Njoo tukutengenezee mfumo wa AC ili uondokane na adha hiyo na kwa bei nafuu kabisa.

Full ac system diagram
15/06/2021

Full ac system diagram

Tumerudi tena kutokana na ukimya wa muda mfupi na hii ni kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi πŸ™πŸ™...
14/05/2021

Tumerudi tena kutokana na ukimya wa muda mfupi na hii ni kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi πŸ™πŸ™πŸ™....
Tutaendelea kupost kila kazi zetu kadri mungu atakavyoruhusu kupata kazi.
Karibuni Sana kwetu viwango, huduma bora, na mahusiano ndio lengo mama.

Old is GoldπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ hata hizi pia tunawekea  mfumo wa Air Condition..Tupo Kahama Phantom 0655 802 404
22/12/2020

Old is GoldπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ hata hizi pia tunawekea mfumo wa Air Condition..
Tupo Kahama Phantom 0655 802 404

Toyota Land cruiser na Crown new model zikifanyiwa marekebisho ya mfumo wa kiyoyozi..nawe unangoja nini?.njoo kwetu tuku...
20/12/2020

Toyota Land cruiser na Crown new model zikifanyiwa marekebisho ya mfumo wa kiyoyozi..nawe unangoja nini?.njoo kwetu tukuhudumie kwa matengenezo ya ;AC leakage,AC wiring probs,AC recharging, automotive AC installation..
Tupo Kahama,phantom 0655 802 404

Kazi kaziπŸ”§βš™οΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ..karibuni kwa huduma ya AC system.Tupo Kahama,Phantom 0655802404
06/12/2020

Kazi kaziπŸ”§βš™οΈπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ..karibuni kwa huduma ya AC system.
Tupo Kahama,Phantom 0655802404

Kazi inaendelea tena.leo tuko na mteja wetu tunarekebisha mfumo wa Umeme wa AC na kubadilisha baadhi ya vitaa ktk AC sys...
03/11/2020

Kazi inaendelea tena.leo tuko na mteja wetu tunarekebisha mfumo wa Umeme wa AC na kubadilisha baadhi ya vitaa ktk AC system.

17/10/2020

Kwa kazi zenye ubora na uhakika kwa Gari yako,njoo kwetu John AC tutakupa huduma bora ya Kiyoyozi (Air Condition) kwenye gari lako.Tupo kahama,phantom.

Address

Phantom
Kahama

Opening Hours

Monday 07:30 - 20:00
Tuesday 07:30 - 20:00
Wednesday 07:30 - 20:00
Thursday 07:30 - 20:00
Friday 07:30 - 20:00
Saturday 07:30 - 20:00
Sunday 07:30 - 16:00

Telephone

+255759376839

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JOMIE Air Condition Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JOMIE Air Condition Services:

Share