Ilala Car wash &Garage

Ilala Car wash &Garage Tunaosha Magari aina zote makubwa na madogo, bajaji, pikipiki na carpets za majumbani kwa kutumia mashine za Kisasa. Pia tunafanya Service na kupiga greas

Umeshawahi kufikiri usafi wa ndani ya gari yako ni muhimu kiasi gani kwa afya yako na watumiaji wengine wa gari yako? Tu...
06/05/2016

Umeshawahi kufikiri usafi wa ndani ya gari yako ni muhimu kiasi gani kwa afya yako na watumiaji wengine wa gari yako? Tuletee na sisi tutakufanyia usafi wa kina ndani ya gari yako kwa kutumia mashine na, dawa na sabuni maalumu zitakazo fanya gari yako kuwa na Muonekano mpya ndani ya gari yako kuazia roof yake, seat zake na sakafu ya gari yako...

Wasiliana nasi kwa 0679591124...

Umeamua kufungia Carpet lako stoo kutonana na hali ya kuchafuka na hujui wapi litaoshwa? Karibu Ilala Car wash tutakupat...
04/05/2016

Umeamua kufungia Carpet lako stoo kutonana na hali ya kuchafuka na hujui wapi litaoshwa? Karibu Ilala Car wash tutakupatia huduma ya usafi wa Carpet lako na kulirudisha katika ubora wake wa awali... Gharama zetu ni nafuu sana

Kwa Maelezo zaidi Piga 0679591124

Karibu upate huduma bora na za kisasa za kuoshewa gari lako, nje na ndani, chasis na Injini kwa bei nafuu sana... Pia tu...
30/04/2016

Karibu upate huduma bora na za kisasa za kuoshewa gari lako, nje na ndani, chasis na Injini kwa bei nafuu sana...
Pia tutatukupigia Wax ya kwenye bodi na polish kwenye Dashboard na viti kwa gharama sawa na Bure....

Tuko Ilala kwa Mlyuka Manispaa ya Iringa...
Kwa maelekezo zaidi tupigie kwa namba 0679591124

28/04/2016

Kwa usafi wa zuria lako tupigie kwa namba 0679591124 tutalifuata lilipo ndani ya mji wa Iringa

Address

Ilala Kwa Mlyuka (Mkwawa Road)
Iringa

Telephone

0679591124

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ilala Car wash &Garage posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category