Mnyambu

Mnyambu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mnyambu, Automotive, aircraft & boat, Box, Dodoma.

19/01/2024

Kwa taarifa tu hawa Cape Verde walikuwa na Special Project ya 20 years ya kukuza Soccer lao wakianza na Special football Academies ambapo talented Youth Players from their teens wanawekwa ktk special academy where they are given hii elimu ya kawaida but with special emphasis on football and they went far kwa ku creat link na mawakala wakubwa wa mpra duniani wanaokuja kuwa recruit according- to their performance.Wachezaji wao toka wakiwa wadogo wanapelekwa Europe hasa France kwenda kwenye team za udder 18 then wanakuwa recruited to the senior team.
Kwa taarifa zaidi hiyo team yao ya Taifa wachezaji wote walioko huko AFCON wanacheza football ulaya nchi za France, Holland, Belgiun and Portugal to mention just the few countries.
Hii ndiyo inaitwa Scientific Approach sasa and the outcome is vividly and clearly seen.
Mpira wa kisasa hauna janja janja wala longo longo.
Hiyo ndiyo mikakati na ndiyo wenzetu wanafanya ktk kuwaandaa footballers wa baadaye.They started from the lower levels tangu wako watoto.
Hata sisi Tanzania tukiamua tunaweza k**a Cape Verde wanaweza ila ni kitu kinataka commitment na uwekezaji serious.
Ghana na ukubwa wake ktk soccer alifungwa mbili vizuri tu na Cape Verde majuzi

17/01/2024

The idea that each job we do reflects who we are is a powerful reminder of the importance of dedication and passion in our work.

When we approach our tasks with excellence, we're not just completing a duty but also showcasing our personal standards and values.

Like leaving a signature on everything we do, it encourages us to do our best and take pride in our achievements, no matter how small they seem.

This attitude improves the quality of our work and enriches our character and personal growth.

03/09/2023

Katika Safari yangu, Nimeona Yaliyonifikirisha na kunishangaza✍🏾.

Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili kwa matumizi ya vitu anavyokataza wengine km Sigara, pombe kali n.k

Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.

Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo💔.

Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa
kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.

Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.

Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini🥹

Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.

Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, na baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.

Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho..✍🏾

Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada,kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa,ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivulichake katika msiba wa yale ya kwake.📌

Mnyambu.

21/04/2022

Kilimo Biashara

13/06/2018

BOEING 787-8 Ambayo Inaletwa Hapa TANZANIA na Serikali ya Tanzania Kupitia Kwa Rais wetu Dr John P. Magufuli kupitia Tanzania Government Flight Agency.

Ndege Hii imenunuliwa kwa $224.6 milion Kwa Lengo Kuu la Usafirishaji wa MIZIGO na Abiria Hasa International Routes.

Kwa Kifupi Ndege Hii ina Sifa zifuatazo
Idadi ya Abiria Kuanzia 242 hadi 335

Inatembea Umbali wa kilomita 13,620 bila Kusimama Sawa na Masaa 16 Hewani

Inabeba idadi ya Mafuta ni Lita 101,323

Inatumia Lita 2530 Kwa Lissa Limoja

Kwa Wale Wafanyabiashara Ambao wengi wao Wanatoka TANZANIA Kwenda China Hasa Mikuu ya Biashara K**a Hongkong na Beijing

Ndege Inaweza Ikatoka Dar es Salaam to Hong KONG Then ikaenda BEIJING Kwa Umbali wa Kilomita 8,761 Kutoka DSM to Hongkong halafu kutoka hongkong China Kwenda Beijing Kwa Umbali wa Kilomita 2000 na Mwisho Ikarudi DSM Kwa Umbali wa Km 9,411.

Jumla ya Umbali Kutoka DSM-Hong kong
then Beijing to DSM ni Sawa na Jumla ya Umbali wa Km 20,172 sawa na Masaa 9.7 Kutoka DSM-HONGKONG,Masaa 2.3 from HONGKONG to BEIJING na Masaa 10.45 Kutoka BEIJING Mpaka DSM Sawa na Masaa 22

Kwa Wale Wasiojua Kuwa HONGKONG ni Moja ya Mji Wenye Mamlaka ya Serikali Yake Ndani ya China na BEIJING Ni MJI Mkuu wa China ya Rais XI JINPING

Pia ndege Itakuwa ni kivutio kikubwa kwa Watalii na Wafanyabiashara kutoka Dunia Nzima na Itaisaidia Nchi Kuongeza Soko Kubwa la utalii na International trade kwa Maeneo mbalimbali ya dunia na ndege hii ina Uwezo kuzunguka pande zote Dunian

08/06/2018

There's no love greater than mothers love, and there's no greater sacrifice than what a father does for his kids.

02/06/2018

Wealth – in whatever form – is seldom the result of luck or coincidence. Far from that, it’s almost always the result of different traits and skills that anyone can learn and acquire. Mnyambu

Address

Box
Dodoma
685

Telephone

+255 763 997 755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnyambu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share