Jeri car wash & Services

Jeri car wash & Services Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jeri car wash & Services, Shekilango Road near Institute of social works, Dar es Salaam.

Usiitembeze gari hadi kilometa za service zikapitiliza ni hatari kwa afya ya gari baadhi ya madhara unayoweza kupata ni ...
10/01/2020

Usiitembeze gari hadi kilometa za service zikapitiliza ni hatari kwa afya ya gari baadhi ya madhara unayoweza kupata ni pamoja na. - Gari kukosa nguvu (Pulling)⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Gari kutoa moshi mwingi(Smoke)⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Injini itapata madhara ambayo yanaweza kupelekea kunoki.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Karibu Jeri Car Services tukuhudumie kwa utaalam na pia tutakushauri jinsi ama namna nzuri ya kutumia gari lako.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya haongera baa,karibu na chuo cha Ustawi wa jamii, Bamaga,Dar es salaam.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Gari yako ni service,usifanye service kwa mazoea weledi unahitajika.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
0757999904

Ubora wa gari yako unatengenezwa na service yake,ukihisi ama kusikia chochote kati ya hivi tambua ubora wa baadhi ya vil...
07/01/2020

Ubora wa gari yako unatengenezwa na service yake,ukihisi ama kusikia chochote kati ya hivi tambua ubora wa baadhi ya vilainishi umeisha,unahitaji mtaalam kwa ajili ya kukufanyia ukaguzi na ripoti kwa ubora na uhai wa gari lako. - Gari kutumia mafuta mengi⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Gari kupandisha joto kwenye injini na kuchemsha sana.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
-Gari kukosa nguvu na gia kuchelewa kuingia⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
-Gari kuchelewa kushika breki.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Harufu tofauti na kawaida (hasa ya kuungua)⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Usukani kuwa mgumu⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
- Hewa ya baridi haifiki japo umewasha AC.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Ikiwa gari yako ina moja kati ya dalili hizi unahitaji kufanyiwa service,ukifika Jeri Car Service utashauriwa na kuhudumiwa na wataalam waliobobea katika fani hii na pia tunauza vilainishi hivyo tutakushauri aina nzuri na kipi kinafaa kwa aina ya gari lako.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Tunapatikana: Shekilango Rd.Pembeni ya Hongera bar karibu na Chuo cha Ustawi wa jamii,Kijitonyama.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Mawasiliano yetu ni 0757999904⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Jericarwash

Usafi wa gari lako hauishii kwenye kuondoa uchafu peke yake,lakini pia na kulinda na kuzingatia ubora wa muonekano wake....
07/01/2020

Usafi wa gari lako hauishii kwenye kuondoa uchafu peke yake,lakini pia na kulinda na kuzingatia ubora wa muonekano wake.Tumia Jeri Wash & Wax kwa ajili ya kulinda muonekano na ubora wa rangi ya gari lako.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Tunapatikana Shekilango road pembeni ya hongera bar karibu na Chuo cha ustawi wa jamii.⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀
Mawasiliano :0757999904

Headlight restoration.Jeri ndio habari ya mjini.0757 999 904
04/01/2020

Headlight restoration.

Jeri ndio habari ya mjini.

0757 999 904

Huduma bora ya car service ukiwa mjiniFika Jeri Car wash & Services tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya Hongera bar na...
04/01/2020

Huduma bora ya car service ukiwa mjini

Fika Jeri Car wash & Services tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya Hongera bar na karibu na chuo cha ustawi wa jamii.

0757 999 904

Car wash bora kwa gari yako,bila kusahau huduma ya headlights restoration.Tunapatikana shekilango rd,pembeni ya Hongera ...
22/12/2019

Car wash bora kwa gari yako,bila kusahau huduma ya headlights restoration.

Tunapatikana shekilango rd,pembeni ya Hongera Bar karibu na chuo cha ustawi wa jamii.

Mawasiliano : 0757999904

Injini yako iko mahala salama Car wash bora kwa gari yako,bila kusahau huduma ya headlights restoration.Tunapatikana she...
22/12/2019

Injini yako iko mahala salama

Car wash bora kwa gari yako,bila kusahau huduma ya headlights restoration.

Tunapatikana shekilango rd,pembeni ya Hongera Bar karibu na chuo cha ustawi wa jamii.

Mawasiliano : 0757999904

Service bora kwa gari yakoSehemu ya kufanyia car service mjini karibu tukuhudumie,tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya ...
14/12/2019

Service bora kwa gari yako

Sehemu ya kufanyia car service mjini karibu tukuhudumie,tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya Hongera Bar karibu na chuo cha Ustawi wa jamii.

0757 999 904

Polish Car wash bora mjini karibu tukuhudumie,tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya Hongera Bar karibu na chuo cha Ustaw...
14/12/2019

Polish

Car wash bora mjini karibu tukuhudumie,tunapatikana Shekilango Rd pembeni ya Hongera Bar karibu na chuo cha Ustawi wa jamii.

0757 999 904

Address

Shekilango Road Near Institute Of Social Works
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255 757 999904

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jeri car wash & Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share