Goshen Auto Cars

Goshen Auto Cars We import quality used cars From Japan, Own and drive your dream car Now. We have Several Offers

Wasiliana nasi kwa Simu namba 0786 821613 Tukuagizie Gari

Toyota Noah For SaleCc19904 cylinderIpo katika hali nzuri k**a unavyoiona kwenye pichaImetunzwa ikatunzikaHaijawahi kuru...
11/11/2020

Toyota Noah For Sale
Cc1990
4 cylinder
Ipo katika hali nzuri k**a unavyoiona kwenye picha

Imetunzwa ikatunzika
Haijawahi kurudiwa rangi

Bei Kitonga Mil 7.8 tu

Popote unafika

Piga 0786 821613

Inauzwa Toyota Raum New ModelCc 1490YoM 2004Color BeigeKm 91+KFuel PetrolFuel Consumption:Town Trips 1ltr/10- 12KmLong t...
30/03/2020

Inauzwa Toyota Raum New Model
Cc 1490
YoM 2004
Color Beige
Km 91+K
Fuel Petrol

Fuel Consumption:
Town Trips 1ltr/10- 12Km
Long trip 1ltr/13-15Km

Running in Good Condition
Never Repainted, No Accident History

Good mechanics condition

Haijarudiwa Rangi wala Haina Historia ya Ajali.
Inafanya kazi vizuri na haijawahi kufunguliwa Injini

Registration DQR

PRICE MIL 9.5

CALL 0786 821613

KARIBU NIKUAGIZIE GARI KUTOKA JAPAN GARI HIIMake: ToyotaModel: RaumChasis: NCZ20KM: 90,000YOM: 2003CC: 1490Color:REDBEI ...
06/03/2019

KARIBU NIKUAGIZIE GARI KUTOKA JAPAN GARI HII

Make: Toyota
Model: Raum
Chasis: NCZ20
KM: 90,000
YOM: 2003
CC: 1490
Color:RED

BEI NI MILIONI 9.9
BEI HII UTALIPA KWA AWAMU MBILI
YA KWANZA UTALIPA MILIONI 4,950,000 NA YA PILI UTALIPA 4,950,000

BEI INAJUMUISHA
1: USHURU NA KODI ZOTE
2:UKAGUZI NCHINI JAPAN
3: USAFIRISHAJI KUTOKA JAPAN MPKA TANZANIA
4:GHARAMA YA AGENT
5:KIBAO CHA NAMBA
6: KUSAFISHIWA TAA ZA GARI YAKO

WASILIANA NA MIMI K**A UNAHITAJI HII AU NYINGINEZO KWA SIMU NAMBA 0712 390 200 KARIBU SANA
**aSioGoshenTupaKule

Je Taa za gari lako Zimepauka, Kuchafuka kupita kiasi hadi kukuletea Kero Nafsini Mwako? K**a Ndio Nafahamu jinsi inavyo...
24/09/2018

Je Taa za gari lako Zimepauka, Kuchafuka kupita kiasi hadi kukuletea Kero Nafsini Mwako? K**a Ndio Nafahamu jinsi inavyokela haswa. Sasa huna Haja ya Kukereka Tena Suluhisho Tunalo Kwa gharama ya Shilingi Elfu 40 Tu tunazirudisha Taa zako katika Hali yake ya Upya na Kuzipa Muonekano mzuri na wenye Kuvutia Hata watakaoziona Hawatasita Kukupa Hongera kwa Kununua Taa Mpya. Huku ikikuongezea Mwanga Wakati wa Usiku.

Tunakufuata Popote Ulipo na Kukuhudumia Bila Shida

Wasiliana nasi Kwa Simu Namba 0712 390 200 Sasa Tukuhudumie

Kwetu Mteja ni Mfalme na Mfalme Haombi Punguzo la Bei

Tumefurahi kufanya kazi na wewe asante kwa kutuamini tunaamini utakuwa balozi wetu mzuri asante sana  lukaza kwa kutuami...
28/07/2018

Tumefurahi kufanya kazi na wewe asante kwa kutuamini tunaamini utakuwa balozi wetu mzuri asante sana lukaza kwa kutuamini.

Je unahitaji kuagiza gari japan na unaogopa basi wasiliana nasi tutabeba stress zako zote kuhusu kuagiza gari.

Bei zetu ni nzuri na affordable karibu Goshen Auto Cars

  Post inajieleza
19/06/2018


Post inajieleza

   **aSioGoshenTupaKule  Toyota Ipsum 2004cc 2360Color BlackCylinder 4A/CAlloy WheelJackWheel SpannerCD playerSunroofKm ...
19/06/2018

**aSioGoshenTupaKule

Toyota Ipsum 2004
cc 2360
Color Black
Cylinder 4
A/C
Alloy Wheel
Jack
Wheel Spanner
CD player
Sunroof
Km 97,120
VVTI Engine
Location Japan

Bei Mpaka Dar Es Salaam, Tanzania ni Milioni Kumi Na Nne (14,000,000)Tsh

Unalipa kwa Awamu Mbili tu.

Awamu ya Kwanza Utalipa 6,407,313 Tsh
(Gharama hii imejumuisha Bei ya Gari, Ukaguzi, Bima Majini,Pamoja na Usafirishaji Mpaka Bandari ya Dar Es Salaam)

Awamu ya Pili Utalipia Shilingi za Kitanzania 7,592,687
Gharama Hizi Zimujuisha Ushuru na Kodi, Gharama za Cleearing Agent, UShuru wa Bandari, Gharama za Shipping Line na Vibao vya Namba) Na Kwa Dar Es Salaam Tunakuletea Mpaka Ulipo Bure.

Ukihitaji hii au nyingine Wasiliana nasi kupitia Akaunti zetu za Facebook na Instagram Goshen Auto Cars
AU SIMU NAMBA 0786 82 16 13

**aSioGoshenTupaKule

  Je Brand Ipi Inakuvutia Zaidi kati ya Hizi?Share Nasi Hapa Tufahamu.Kwa Ununuaji wa Magari Kutoka Japan Kwa Bei Nafuu,...
19/06/2018

Je Brand Ipi Inakuvutia Zaidi kati ya Hizi?

Share Nasi Hapa Tufahamu.

Kwa Ununuaji wa Magari Kutoka Japan Kwa Bei Nafuu, Uhakika na Ubora wasiliana nasi Auto Cars Usalama na Uhakika ndio Kipimo Chetu

Usalama na Ubora Hapa ndio Mahala Pake
Auto Cars Auto Cars

  Je hii ni dashboard ya Gari Gani?K**a wewe ni mzoefu tujuze.  Kwa Maswali, Ushauri kununua gari wasiliana nasi Kwani h...
18/06/2018

Je hii ni dashboard ya Gari Gani?

K**a wewe ni mzoefu tujuze.



Kwa Maswali, Ushauri kununua gari wasiliana nasi Kwani hapa ndio Sehemu sahihi na salama kwako.

**aSioGoshenTupaKule

  Tuambie Weekend yako ilikuaje?Kwa Maswali, ushauri, Kununua Gari Basi hapa ndio sehemu sahihi na salama Kwako.Tunajali...
18/06/2018

Tuambie Weekend yako ilikuaje?

Kwa Maswali, ushauri, Kununua Gari Basi hapa ndio sehemu sahihi na salama Kwako.

Tunajali Wateja wetu.
Goshen Auto Cars

Asante sana Mteja wetu Kwa Kutuamini na kuendelea kufanya kazi Na Sisi  Auto Cars Uhakika Wa Gari lako Ndio Commitment Y...
10/06/2018

Asante sana Mteja wetu Kwa Kutuamini na kuendelea kufanya kazi Na Sisi Auto Cars Uhakika Wa Gari lako Ndio Commitment Yetu.

Unangoja nini wewe Karibu tufanye kazi na wewe.Tuambie Gari gani unataka na Sisi tutakuagizia kwa Bei Nafuu kabisa Huku Tukiwa tumebeba Stress Zako zote huku wewe Ukirelax na kusubiri Gari yako Ifike.

Wasiliana nasi Instagram kwa na Facebook Pia Tutakushauri na kukutafutia kilicho Bora.

Endelea Kuwa nasi Goshen Auto Cars

Address

Migombani Street, Segerea Dsm
Dar Es Salaam

Telephone

+255786821613

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goshen Auto Cars posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category