Boxer Tanzania

Call Directions

Boxer Tanzania Fuata kurasa yetu upate mamelekezo zaidi juu ya pikipiki za BOXER na Bajaji RE4S

Rangi ipi inaendana na vibe yako? Kuanzia Bluu ya kuvutia, Nyekundu yenye nguvu, Kijani cha uhai hadi Nyeusi yenye mvuto...
29/09/2026

Rangi ipi inaendana na vibe yako?

Kuanzia Bluu ya kuvutia, Nyekundu yenye nguvu, Kijani cha uhai hadi Nyeusi yenye mvutoβ€”kuna rangi ya Bajaj kwa kila style. πŸ”₯

Je, ni rangi gani ungechagua? Tuambie kwenye comment! πŸ‘‡πŸΎ

Je, unaijua Boxer 125X vizuri? πŸ”₯Chagua jibu sahihi kati ya A, B au C kisha liandike kwenye maoni. Tuone k**a kweli unaij...
29/09/2026

Je, unaijua Boxer 125X vizuri? πŸ”₯

Chagua jibu sahihi kati ya A, B au C kisha liandike kwenye maoni. Tuone k**a kweli unaijua Boxer 125X yako! πŸ‘‡πŸΎβœ¨

Acha kukodisha, anza kumiliki! Umechoka kulipa kodi wakati unaweza kuwa na chombo chako mwenyewe? Timiza ndoto yako leo ...
28/09/2026

Acha kukodisha, anza kumiliki!

Umechoka kulipa kodi wakati unaweza kuwa na chombo chako mwenyewe? Timiza ndoto yako leo kupitia mkopo wenye masharti nafuu kutoka MO Finance Corporation Ltd! Pata Boxer au Bajaj yako kwa urahisi, na ufurahie amani ya moyo ukiwa na udhamini wa miezi 12 (12 Months Warranty)!

Wasiliana nasi leo uchukue usukani wa maisha yako.

27/09/2026

Hakuna kinachosema ubora zaidi ya uzoefu wa mtumiaji mwenyewe. 🏍️πŸ”₯

Boxer imejengwa kwa uimara, nguvu na kuaminika kila siku. Chaguo la pikipiki linalokupa safari yenye uhakika, popote unapokwenda.

Miliki Bajaj mpya leo kwa kianzio cha TZS 1,500,000/- tu! Fanikisha malengo yako ya usafiri au biashara kupitia mkopo wa...
22/09/2026

Miliki Bajaj mpya leo kwa kianzio cha TZS 1,500,000/- tu!

Fanikisha malengo yako ya usafiri au biashara kupitia mkopo wa Bajaj au Boxer kutoka MO Finance, ukiwa na dhamana ya miezi 12.

Wasiliana nasi leo na uanze safari yako ya mafanikio!

Biashara

21/09/2026

Anzisha safari yako leo na Mo Finance! πŸ”₯

Ukiwa na TZS 400,000 tu, unaweza kuchukua pikipiki yako ya Boxer na kuanza safari yako ya mafanikio. Na ukichukua chombo chako kupitia Mo Finance, tunakuongezea mafuta ya full tank bure kabisa ili uanze safari bila stress!

Unachohitaji:
βœ… Kitambulisho cha Taifa
βœ… Barua ya Serikali ya Mtaa
βœ… Mdhamini mmoja mwenye kitambulisho

Wakazi wa Dar es Salaam, fursa hii ni kwa ajili yenu! Unasubiri nini?

πŸ“ž Wasiliana nasi au fika ofisini leo kwa maelezo zaidi.

Boxer Moja, Matumizi Kibao! Iwe ni kwa ajili ya delivery, usafiri wa bodaboda, shughuli za shambani au kwenda kazini, Ba...
17/09/2026

Boxer Moja, Matumizi Kibao!

Iwe ni kwa ajili ya delivery, usafiri wa bodaboda, shughuli za shambani au kwenda kazini, Bajaj Boxer iko tayari kukusaidia kwenye shughuli zako za kila siku, ikiwa imejengwa kwa uimara na matumizi mbalimbali.

Miliki yako leo kwa mkopo wenye masharti nafuu kupitia MO Finance. Piga simu bure kupitia 0800 710 060 / 0800 710 061 na chukua hatua kuelekea kurahisisha shughuli zako za kila siku.

15/09/2026

Jipatie Pikipiki yako mpya leo na ufurahie offer za kede kede kutoka kwetu!πŸ”₯

Furahia ofa zetu pamoja na:
βœ… Warranty ya mwaka mzima kwenye engine
βœ… Bima BURE ya MO Assurance
βœ… Helmet mbili
βœ… T-shirt kali au Jacket (kwa 150 HD/X)

Usikose ofa hii! Karibu leo uchague pikipiki yako.

Weka chombo chako salama na katika hali bora! Duka jipya la vipuri halisi vya Bajaj RE 3W sasa lipo tayari kukuhudumia K...
12/09/2026

Weka chombo chako salama na katika hali bora!

Duka jipya la vipuri halisi vya Bajaj RE 3W sasa lipo tayari kukuhudumia Kariakoo. Pata vipuri halisi kwa bei nafuu na huduma ya kitaalamu ili kuhakikisha chombo chako kinaendelea kufanya kazi vizuri.

πŸ“ž Piga bure kupitia 0800 710 060 / 0800 710 061 au miliki chombo chako kupitia MO Finance.

Unajua uwezo halisi wa Boxer 125X barabarani? Hebu tuone k**a unaijua vizuri! Chagua jibu lako A, B au C kwenye maoni ha...
11/09/2026

Unajua uwezo halisi wa Boxer 125X barabarani?

Hebu tuone k**a unaijua vizuri! Chagua jibu lako A, B au C kwenye maoni hapa chini na tuone k**a umepatia. πŸ‘‡πŸΎ

Address

Gerezani Roundabout
Dar Es Salaam

Telephone

+255800710060

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boxer Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share