Achi Auto Parts

Call Contact the business

Achi Auto Parts Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Achi Auto Parts, Automotive repair centre, Kinondoni Morocco, Dar es Salaam.

25/10/2026
23/10/2026

Ngoja nikuambie kitu kuhusu gari yako inayovibrate au kukosa nguvu.

Mara nyingi, mtu akienda garage, fundi anamwambia 'badilisha coils, badilisha plugs, badilisha sensors.' Mteja analipa pesa nyingi, lakini gari bado inamiss. Kwanini? Kwa sababu hawakuanza kwa kuiangalia afya ya engine yenyewe.

Kwenye video hii, nimekuchukulia kipimo kinaitwa Compression Test. Hiki ni kipimo cha kupima pressure ndani ya engine. K**a compression iko chini, hata uweke coil mpya ya milioni, gari haitakaa sawa.

Kazi yetu hapa ACHI siyo kukutafutia pesa kwa kuuza spare ovyo. Kazi yetu ni kuhakikisha tunagundua tatizo halisi kwanza. Hatuna muda wa kupoteza na wewe, na hatuna muda wa kupoteza na gari yako.

K**a gari yako inakata-kata, inagoma kuwaka, au inakosa nguvu, leta hapa ACHI. Tutaanza kwa kupima compression, kisha tuje kwenye sensors.

Upo Dar? Piga simu au leta gari leo, tukaangalie kwa pamoja.

22/10/2026

Kaka, dada, hebu nikuulize kitu. Nissan Dualis au X-Trail yako inatetemeka? Halafu kwenye scanner inatoa hiyo code ya System Too Lean?

Kabla hujakimbilia kununua injectors au kuanza kuchanganya na sensors, ngoja nikuambie kitu. Mara nyingi sana, tatizo siyo injini. Ni hii hose ndogo ya mpira inayopitisha hewa (Air Intake Hose).

Ukiangalia kwa makini, hii hose inaweza kuwa imepasuka au imevuja mahali. Hewa ya nje inaingia kinyemela kwenye engine. Engine inachanganyikiwa, inakosa nguvu, na inatetemeka.

Kwenye hii video, nimekuelekeza jinsi ya kuangalia hii hose kwa macho yako mwenyewe. Usikubali uambiwe "badilisha injectors zote" k**a hujathibitisha hii hose iko sawa.

K**a hujui pa kuanzia, leta gari hapa ACHI. Tuna smoke tester ambayo tunapuliza moshi, na pale moshi unapotoka, ndio tunajua tatizo liko wapi. Inspection ni bure.

Upo Dar? Leta gari leo tukaangalie kwa pamoja. K**a ni hose tu, tunaweza kuibadilisha haraka na gari ikarudi kwenye nguvu zake.

20/10/2026

Gari lako umefunga CNG gas linatetemeka? Linakosa nguvu? Code ya system too lean (P0171) inaonekana kwenye scanner? ⚠️

CNG cars zina shida zake za kipekee. Code ya system too lean ni moja yake. Na k**a hujui inamaanisha nini, unaweza kubadilisha parts ambazo hazitarekebisha tatizo — k**a spark plugs, coils, au injectors.

Kwenye hii video ninaelezea:
âś… System too lean code inamaanisha nini kwenye CNG
âś… Kwa nini CNG inaua spark plugs
âś… Nini cha kuangalia kabla ya kubadilisha parts
âś… Jinsi ya kurekebisha tatizo halisi

Ukibadilisha plugs bila kurekebisha sababu, plugs mpya zitakufa tena. Na utarudi tena.

K**a unataka garage inayojua CNG — na inayogundua tatizo halisi kabla ya kukupa bill — wewe ni mteja wetu. Leta gari lako kwa inspection ya bure. Tunakagua, tunakuonyesha tatizo halisi, na tunakupa bei kabla hatujagusa kitu.

📞 0777 332255
WhatsApp 0746649839
📍 Kinondoni Morocco nyuma ya jengo la Airtel

19/10/2026

Gari likija na misfire, watu wengi hukimbilia kubadilisha coils, plugs au sensors. Sisi tunaanza na smoke test.

Tunayo smoke tester Achi Auto Parts and Garage. Ni tool inayotumia moshi kupata leaks kwenye vacuum system-mahali ambapo hewa inaingia ambapo haipaswi. Leaks hizi zinasababisha misfire, rough idle na hata engine kukosa nguvu.

Kwenye video hii ninaonyesha
âś… Jinsi smoke tester inavyofanya kazi
âś… Live diagnosis-tulipata leak wapi
âś… Kwanini kugundua leak mapema kunaokoa pesa

K**a hatungekuwa na tool hii, tungekuwa tunabahatisha. Tungebadilisha parts ambazo hazikuwa na shida. Mteja angepoteza pesa. Na misfire ingeendelea.

You would probably enjoy working with us if you’ve been burned by a mechanic before. You paid for a repair that didn’t work and don’t want that to happen again.

K**a unataka garage inayogundua tatizo halisi-sio kubahatisha-wewe ni mteja wetu. Leta gari lako kwa inspection ya bure. Tunakagua, tunakuonyesha tatizo halisi na tunakupa bei kabla hatujagusa kitu.

📞0777332255
WhatsApp 0746649839
📍Kinondoni Morocco, Nyuma Ya Jengo La Airtel (Block41)

18/10/2026

Betri yako inakufa mara kwa mara? Taa zinapungua ukiongeza speed? Betri inachemka? ⚠️

Kabla ya kubadilisha betri tena, pima voltage ya gari lako. Alternator inaweza kuwa inacharge chini (undercharging) au kupita kiasi (overcharging). Zote mbili zinaharibu betri na electronics zako.

Kwenye hii video ninaelezea:
✅ Voltage ya kawaida ya gari — ni ngapi?
✅ Dalili za undercharging — na nini kinaharibika
✅ Dalili za overcharging — na nini kinaharibika
âś… Jinsi ya kutofautisha alternator nzuri na mbovu

Ukiachia alternator mbovu, inaweza kuharibu betri yako, electronics, na hata ECU. Gharama inaweza kupanda mara tatu.

You would probably enjoy working with us if you value someone who tells you when you don’t need a repair, not just when you do. Leta gari lako kwa inspection ya bure. Tunakagua, tunakuonyesha tatizo halisi, na tunakupa bei kabla hatujagusa kitu.

📞 0777332255
WhatsApp 0746 649839
📍 Kinondoni Morocco, Dar es Salaam

17/10/2026

European cars, hasa Mercedes, ni very sensitive kwa transmission fluid. Spec moja ikikosewa, gearbox inaanza kugoma, inakita wakati wa kuchange gear na inaweza kuharibika kabisa. Gharama ya gearbox Mpya ni ma-milioni.

Tuna transmission fluid kwa Japanese na European cars. K**a unahitaji kujua ni oil gani sahihi kwa gari lako, tupigie. Tunakupa subaytı sahihi- sio kubahatisha.

K**a unataka garage inayojua tofauti kati ya magari-na inayokuonyesha tatizo halisi kabla ya kukupa bill- wewe ni mteja wetu. Leta gari lako kwa inspection ya bure.

📞0777332255
WhatsApp 0746649839
📍Kinondoni Morocco, Dar es salaam
🇹🇿

16/10/2026

Taa dhaifu sio usumbufu tu, ni hatari. Huwezi kuona pedestrians, potholes au magari yanayokuja. Na taa za wengine zenye nguvu kubwa zinaweza kukupofusha kWa sekimde, na sekunde moja inatosha kwa ajali.

Tunazo LED bulbs za nguvu kubwa Achi Auto Parts and Garage. K**a unataka kuona vizuri na kujilinda usiku, tupigie.

K**a unataka garage inayokuonyesha tatizo halisi kabla ya kukupa bill- wewe ni mteja wetu. Leta gari kwa inspection ya bure.

📞 0777332255
WhatsApp 0746649839
📍Kinondoni Morocco, Dar es salaam.

Address

Kinondoni Morocco
Dar Es Salaam

Telephone

+255767200222

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Achi Auto Parts posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Achi Auto Parts:

Shortcuts

Share