15/12/2025
WORN OUT SPARK PLUG ( PLAGI ZILIZOISHA) 🚘🚘🛠️🛠️
🛠️Huonesha Dalili Tofauti Tofauti kwenye Gari, nitazitaja kwa Maelezo Rahisi hapo chini;
🛠️ Husababisha GARI kukosa Nguvu hasa kwenye Spidi Ndogo
🛠️ Husababisha GARI KUTETEMEKA ukiwa umesimama unataka kuondoka au hata ukiwa unatembea
🛠️ Husababisha GARI KUZIMA kabisa na Kugoma Kuwaka
Namna ya Kujua Plagi ZIMEISHA hii ni NZURI ukiwa uko na FUNDI kuepuka Kubwa😅🛠️
1. Huwa ina Rangi ya KAHAWIA kwenye SHINGO ya Juu yenye RANGI nyeupe, k**a inavyoonekana kwenye Picha...
2. Huku kwenye SINDANO chini, huwa inakua IMEISHA...
Kwenye KUTIBU HAKIKISHA, Unatumia PLUG ORIGINAL tu...