Maintenance Programs(Asset Care)

Maintenance Programs(Asset Care) To provide good maintenance practice for longer lasting of your assets

Wakati huu ambapo bei za mafuta zimepanda ni wakati wa kuchagua kutumia nishati mbadala kwenye gari lako. Funga mfumo wa...
01/05/2022

Wakati huu ambapo bei za mafuta zimepanda ni wakati wa kuchagua kutumia nishati mbadala kwenye gari lako. Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako ili unufaike.
1. Gesi asilia haipandi bei kiholela maana inapatikana hapa nchini
2. Bei ya kilo moja ya gesi asilia inakupa umbali zaidi ukilinaganisha na mafuta
3. Gesi asilia ni bei nafuu zaidi kuliko mafuta, si zaidi ya Tsh 1600 kwa kilo
Gari inakuwa na mifumo miwili ya nishati yaani gesi na mafuta
4. Utaokoa pesa zaidi ya asilimia 40 katika matumizi ya mafuta
Utalunguza utegemezi wa mafuta kwa taifa ambayo yanaongeza gharama za maisha kila bei ya mafuta inapopanda

Sasa tunaongeza mfumo wa gesi asilia katika gari lako linalotumia petroli. Utaweza kupunguza gharama za mafuta hadi nusu...
02/06/2019

Sasa tunaongeza mfumo wa gesi asilia katika gari lako linalotumia petroli. Utaweza kupunguza gharama za mafuta hadi nusu ya unazotumia kwa sasa
Fika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam tukuhudumie

17/02/2019

Sasa tunaongeza mfumo wa gesi asilia kwenye magari yanayo tumia petrol.
Manufaa
1. Gari yako inakuwa na mifumo miwili ya mafuta na gesi asilia
2. Gharama za mafuta zinapungua kwa Zaidi ya 40%. Mfano k**a unatumia mafuta ya TZS 200,000/- kwa mwezi unaweza kupunguza kwa zaidi ya TZS 80,000/-
3. Injini yako inakuwa safi, hivyo oil yako itadumu kwa muda mrefu zaidi

Kwa maelezo zaidi fika Taasisi ya Technolojia Dar es Salaam, makutano ya barabara ya Bibi T**i Mohamed na Morogoro, au karibu na kituo cha daradara cha akiba, au karibu na kituo cha mwendo kasi DIT au karibu na hospitali ya Regency

24/05/2018

SHORT COURSE TRAINING ON:
1. MOTOR VEHICLE MECHANICS
2. AUTO ELECTRICS AND ELECTRONICS
ALL TRAINING ARE COMPETENCE BASED (HANDS ON SKILLS)
WHEN: AUGUST 20, 2018
VANUE: DIT
BOOKING OFFICE: ICB (DIT)

MOBILE: 0689 273 392

19/01/2014

After empowering the operator, will be easier to lift up the efficiency&life from natural deterioration. On the other hand tradespersons will do other complex maintenance activities. Operator is in the best position to see, hear and feel any abnormality.

14/01/2014

In order for the equipment to last longer i.e beyond its natural deterioration requires involvement of the operator in maintenance ex*****on. Thus the practise is called Autonomous Maintenance.

02/10/2013

In asset management there are two best practice which have proved best performance of industrial equipment in the world. Asset care and Autonomous maintenance are two tools if implemented fully can garantee higher, reliability and lnger life of plant

19/09/2013

Asset management is all about taking care of equipment. It begins at time of purchase idea is generated, also proceeds to a time of shipment, intallation, commission, operation and disposal. During these processes asset care principles should considered

11/11/2012

Want to know how to make your assets longer

Address

DIT
Dar Es Salaam
022

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255768852129

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maintenance Programs(Asset Care) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maintenance Programs(Asset Care):

Share