World Tire Tanzania

World Tire Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from World Tire Tanzania, Automotive, aircraft & boat, Makuburi, Dar es Salaam.

04/06/2017

UFAHAMU:
Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa. Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE.
Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi K**a ifuatavyo

CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200

Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha spidi,180.

*Nawasalimia ndugu wote humu nyumbani na kuwatakia siku njema,*

tukiitumia hiyo ☝ taarifa itatusaidia tusafiripo.
Bado siku 25!!!

Thanks my dia customer for your trust on our product please enjoy with our tyres ,we normally a sure quality product wit...
22/01/2017

Thanks my dia customer for your trust on our product please enjoy with our tyres ,we normally a sure quality product with good price

05/12/2016
Je wajua umuhimu wa maelezo juu ya tair yako yagar
29/08/2016

Je wajua umuhimu wa maelezo juu ya tair yako yagar

04/08/2016

Asanten sana kwa kutuamin

Thanks mr allan kwa kutuunga mkono
04/08/2016

Thanks mr allan kwa kutuunga mkono

25/07/2016

Address

Makuburi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when World Tire Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share