Mr Engine Tz

Mr Engine Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mr Engine Tz, Automotive Service, KINONDONI BIAFRA, Dar es Salaam.

MR ENGINE TZ
WATAALAMU WA FORD RANGER ZA AINA ZOTE
EUROPEAN CAR SPECIALIST
ENGINE β€’ GEAR BOX β€’ FULL DIAGNOSIS
PIA TUNAPATIKANA TANZANIA NZIMA
KWA MAWASILIANO πŸ“ž 0713 504 313 | 0745 879 628
πŸ“ KINONDONI BIAFRA, DAR ES SALAAM, TANZANIA.

30/03/2026

Ukizisikia hizo sauti kwenye gari yakofanya kuwahi kwa Mr Engine tukushauri
Wasiliana nasi kupitia +255 745 879 628

30/03/2026

Leo tupo Mtwara πŸ”§πŸ”₯
Mr Engine tuko kazini na Ford Ranger πŸ’ͺπŸš—
Hakuna kulala mpaka gari irudi barabarani!

πŸ“ž+255 745 879 628

17/03/2026

Ford Ranger 2.0 tunashusha engine usiku πŸ”§πŸŒ™
Hapa hakuna story za kubahatisha – sisi ni Ford Specialist halisi!
Kazi inaongea, wateja wanarudi πŸ’―
Kinondoni Biafra πŸ“
πŸ“ž +255 718 389 532”

πŸ”₯

10/03/2026

Hatua inayofuata πŸ”§
Urekebishaji wa VALVE BODY ya FORD RANGER 3.2 WILDTRAK YA MWAKA 2016 unaendelea.
Kazi safi β€’ Utaalam wa kweli β€’ Matokeo ya uhakika
MR ENGINE AUTO GARAGE - WATAALAM WA FORD
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

10/03/2026

Leo tuko na na FORD RANGER WILDTRAK yenye Engine ya 3.2 ya mwaka 2016 imekuja ikiwa na tatizo la GEAR KUKITA baada ya uchunguzi wa kitaalam tumegundua chanzo ni VALvE BODY ya Gearbox.
Sasa tayari tumeifungua kwa matengenezo ya uhakika.
MR ENGINE AUTO GARAGE - Hapa ndipo Ford Zinapata tiba sahihi.
Tunafanya kazi kwa utaalam, uaminifu, na matokeo halisi.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

09/03/2026

Hakuna kulala Kazi inaendelea πŸ”§πŸ”₯

Leo tunashusha engine ya Ford Ranger 3.2 Wildtrack kwa ajili ya matengenezo makubwa ya engine.
Kwa Mr Engine TZ tunafanya kazi kwa umakini kuhakikisha gari lako linakuwa katika hali nzuri tena.

K**a gari lako lina matatizo ya engine k**a:
β€’ kupoteza nguvu
β€’ moshi mwingi
β€’ sauti isiyo ya kawaida

Usisite kuwasiliana nasi.

πŸ“ Tunapatikana Biafra – Kinondoni
πŸ“ž 0745 879 628

06/03/2026

UNAJUA MAANA YA β€œJINO MOJA”? πŸ€”

Ni pale gari inawaka start moja tu bila kusuasua!

Hii Ford Ranger ilikuja na tatizo la nozzle (injector), gari ilikuwa inatoa moshi sana.

Lakini baada ya kupita mikononi mwa mafundi wa MR ENGINE AUTO GARAGE…

πŸ”₯ SASA INAWAKA JINO MOJA TU!
πŸ”₯ NOZZLE ZIKO BOMBA KABISA!
πŸ”₯ ENGINE INA-SOUND SAFI!

K**a una gari ya Ford yenye tatizo la:
βœ”οΈ Nozzle / Injector
βœ”οΈ Engine
βœ”οΈ Umeme wa gari
βœ”οΈ Diagnosis

SISI NDO SOLUTION YAKO.

πŸ“ž 0713 504 313
πŸ“ž 0745 879 628

πŸ“ MR ENGINE AUTO GARAGE

πŸ”§πŸš—πŸ”₯

06/03/2026

πŸš— MTEJA AMERUDISHIWA NGUVU YA GARI LAKE!
Ford Everest IMETENGENEZWA NA WATAALAMU WA MR ENGINE TZ
UBORA β€’ UAMINIFU β€’ HUDUMA BORA
TUFIKIE SASA KWA MATENGENEZO YA MAGARI YA KISASA.
πŸ“ž 0713 504 313 | 0745 879 628

05/03/2026

πŸ”§ HOUSE FULL OF FORD!
Hapa ni MR ENGINE AUTO GARAGE – nyumbani kwa matengenezo ya magari ya Ford.

Ubora wa kazi zetu ndio sababu wateja wanaendelea kutuamini.
Ukiona Ford imejaa hapa ujue matokeo ni uhakika πŸ’ͺ

πŸ“ž 0713 504 313
πŸ“ž 0745 879 628

Follow:
Instagram:
Facebook: MR Engine TZ

03/09/2025
01/08/2025

Je engine yako imeharibika? Wailing na Mr engine tz kwa matengeneza sahib na bora
Kinondoni dar es salaam




Address

KINONDONI BIAFRA
Dar Es Salaam
16103

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:30
Tuesday 08:00 - 20:30
Wednesday 08:00 - 20:30
Thursday 08:00 - 20:30
Friday 08:00 - 20:30
Saturday 08:00 - 20:30
Sunday 10:00 - 18:00

Telephone

+255745879628

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Engine Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mr Engine Tz:

Share