20/02/2025
Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu! β»οΈπ
Katika safari ya kuhifadhi mazingira, tunatumia rasilimali zilizopo katika mazingira yetu ili kuleta ubunifu. Huu ni mfano wa bustani ya kupanda mimea k**a vile maua na mboga mboga za majani πΊ π₯¬ ambayo tumetengeneza kwa kutumia tairi chakavu, Zaidi hasa ikiwakilisha mbinu endelevu za kilimo mijini, urejelezaji na uhifadhi wa mazingira. Pamoja tunaweza kufanya dunia kuwa mahali bora zaidi!