Mr alhamdu professional of cars aircondition

Call Directions Website

Mr alhamdu professional of cars aircondition Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mr alhamdu professional of cars aircondition, Ilala bungoni/msaada garage, Dar es Salaam.

❄️Auto Ac spacialist•ilala bungoni Dsm
🔧Installation•Cleaning• Repairs
🚗your car our cool
📍57C3+GH7-Google map
☎️Dm via whatsapp

http://wa.me/255789424140

57C3+GH7,

30/07/2026

Toyota Rumion kutoka Electric A/C Compressor ➜ Vitz Belt-Driven Compressor. 🔧❄️
Hakuna lisilowezekana kwa MR ALHAMDU AUTO AC. Tunafanya conversion kwa umakini na kuhakikisha A/C inafanya kazi vizuri. 💯
📍 Ilala Bungoni, Dar es Salaam
📲 WhatsApp: +255 789 424 140
Follow kwa kazi zaidi za Car A/C.
MechanicLife DarEsSalaam MRAlhamduAutoAC

🚗❄️ USIBADILISHE COMPRESSOR PEKEE! ❄️🚗Wateja wengi wanarudi kwa fundi baada ya muda mfupi wakisema👉 “AC imekufa tena”Sab...
23/12/2025

🚗❄️ USIBADILISHE COMPRESSOR PEKEE! ❄️🚗

Wateja wengi wanarudi kwa fundi baada ya muda mfupi wakisema
👉 “AC imekufa tena”

Sababu kubwa ni hii 👇
🔴 Compressor ikifa hutoa uchafu (metal particles)
🔴 Uchafu unaziba condenser
🔴 Ukifunga compressor mpya bila kubadilisha condenser
➡️ Compressor mpya inaheat na inaharibika tena

✅ KAZI SAHIHI YA KITAALAMU
✔️ Kubadilisha compressor
✔️ Kubadilisha condenser (hasa parallel flow)
✔️ Kuflush system vizuri
✔️ Kubadilisha receiver drier
✔️ Oil & gas kwa kiwango sahihi

💯 Hii ndiyo sababu AC zetu hudumu na baridi inakuwa kali

📍 Usiweke pesa yako hatarini
📞 Wasiliana na fundi mtaalamu leo.✍️

😅 Huyu panya alijisahau akaingia kwenye mfumo wa AC akafanya makazi yake ndani ya blower fan!Matokeo yake — kelele kali ...
06/11/2025

😅 Huyu panya alijisahau akaingia kwenye mfumo wa AC akafanya makazi yake ndani ya blower fan!
Matokeo yake — kelele kali k**a ndege ndani ya dashboard 🐀🔊

Lakini “Mr Alhamdu Professional of Cars Aircondition” hatupigi kelele, tunapiga kazi! 💪🏾❄️

✅ Tatizo: Blower inatoa kelele kubwa
🔧 Sababu: Panya + uchafu kwenye blower
🚗 Suluhisho: Kusafisha system, kurekebisha intake air, na kurudisha baridi safi k**a mpya!

Sababu Kuu 5 za Kwanini AC ya Gari Inashindwa Kupooza Vizuri:❄️ 1. Upungufu wa gesi ya AC (Refrigerant)– Gesi ikipungua,...
12/07/2025

Sababu Kuu 5 za Kwanini AC ya Gari Inashindwa Kupooza Vizuri:

❄️ 1. Upungufu wa gesi ya AC (Refrigerant)
– Gesi ikipungua, AC inashindwa kutoa baridi ya kutosha.

🧊 2. Evaporator imeziba kwa vumbi au uchafu
– Inazuia upepo baridi kufika vizuri ndani ya gari.

⚠️ 3. Compressor haina nguvu au imeharibika
– Bila compressor kufanya kazi ipasavyo, mzunguko wa baridi unakatika.

🧼 4. Cabin filter chafu
– Filter ya ndani ikiwa imejaa vumbi, hewa haipiti vizuri.

🔌 5. Tatizo la umeme (Sensor, switch au fuse)
– Hujenga matatizo ya kuwasha/kuzima AC au kufanya kazi bila baridi.

⸻

Angalizo⚠️
Ukiona AC yako haipoozi vizuri, usikawie – tatizo dogo linaweza kugeuka kubwa. Muone fundi kutibu tatizo la gari yako.

Brand new BMW X3 AC compressor 💥Ubaridi wa kweli unaanzia hapa❄️🔧 Ready for installation📍Ilala Bungoni –  📱 DM or WhatsA...
08/07/2025

Brand new BMW X3 AC compressor 💥
Ubaridi wa kweli unaanzia hapa❄️
🔧 Ready for installation
📍Ilala Bungoni –
📱 DM or WhatsApp now

🔧 Brand New Discovery 3 AC Compressor!Hakuna kelele, hakuna joto — baridi safi k**a ulivyoagiza kutoka UK 🇬🇧✅ Imara✅ Kim...
08/07/2025

🔧 Brand New Discovery 3 AC Compressor!
Hakuna kelele, hakuna joto — baridi safi k**a ulivyoagiza kutoka UK 🇬🇧

✅ Imara
✅ Kimya
✅ Performance ya hali ya juu
✅baridi k**a barafu
📍 Ilala Bungoni
📞 DM au WhatsApp kwa installation 👇
wa.me/255789424140

❄️🚘

Address

Ilala Bungoni/msaada Garage
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr alhamdu professional of cars aircondition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share