NEXT DOOR SPARE PARTS Tabata Barakuda & kinyerezi mwisho

NEXT DOOR SPARE PARTS   Tabata Barakuda & kinyerezi mwisho Tunauza SPARE PARTS, kutoa USHAURI na MATENGENEZO kwa magari madogo aina TOYOTA, NISSAN NA SUZUKI

13/07/2021

JAMHURI imewasilisha nia ya kukata rufani kupinga uamuzi wa Mahak**a Kuu uliotengua uamuzi wa kumfuta katika orodha ya mawakili, Fatma Karume. /https://bit.ly/2U57HuL

Kwa Engine ya 1AZ tumia OIL yenye 5w-20 ili kuepuka kuharibu Engine na kutumia mafuta mengi zaidi. Kujua namba ya Engine...
22/04/2016

Kwa Engine ya 1AZ tumia OIL yenye 5w-20 ili kuepuka kuharibu Engine na kutumia mafuta mengi zaidi. Kujua namba ya Engine, angalia kadi ya gari au kwenye Engine
NEXT DOOR SULUHISHO LAKO

K**a Gari yako ni Toyota yenye engine ya 1ZZ ( ambayo utaiona kwenye kadi ya gari au  kibati kinacholezea gari lako kwen...
22/04/2016

K**a Gari yako ni Toyota yenye engine ya 1ZZ ( ambayo utaiona kwenye kadi ya gari au kibati kinacholezea gari lako kwenye Engine), basi tumia aina hii ya Oil Filter katika kuhakikisha ubora wa gari Lako!!!
Maelezo zaidi tembelea:
NEXT DOOR SPARE PARTS!!
TABATA BARAKUDA/ KINYEREZI MWISHO

Oil na filters zake ni tofauti kwa kila gari, je wafahamu gari lako linatumia zipi ili kuboresha ulainishaji wa Injini?
15/04/2016

Oil na filters zake ni tofauti kwa kila gari, je wafahamu gari lako linatumia zipi ili kuboresha ulainishaji wa Injini?

15/04/2016

Kwa mahitaji ya Engine Oil na filters mahsusi kwa gari lako !!!

Tembelea NEXT DOOR

Mambo Matano Kuyafahamu Kabla Hujanunua Spare Part;1. Fanya utafiti: uliza watu wenye uzoefu2. Fananisha Bei: Tembelea M...
13/04/2016

Mambo Matano Kuyafahamu Kabla Hujanunua Spare Part;
1. Fanya utafiti: uliza watu wenye uzoefu
2. Fananisha Bei: Tembelea Maduka Tofauti
3. Hakikisha namba ya kipuri unayoihitaji ni yenyewe
4. Nunua wewe mwenyewe k**a kipuri ni cha adimu
5. Hakikisha kipuri kina garantee
Tembelea NEXT DOOR KWA USHAURI ZAIDI

Address

TABATA BARAKUDA & KINYEREZI MWISHO
Dar Es Salaam

Telephone

+255784381802

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NEXT DOOR SPARE PARTS Tabata Barakuda & kinyerezi mwisho posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NEXT DOOR SPARE PARTS Tabata Barakuda & kinyerezi mwisho:

Share