18/07/2024
SUPERDOLL HATUTAKI FEKI SISI!!.
Wataalam wetu wa wakiwa pamoja na mgeni rasmi naibu waziri wa viwanda na biashara, Mhe. Exaud S. Kigahe , wakimfafanulia kwa vitendo na kumwonyesha tofauti iliyopo kati ya bidhaa halisi (original) na bidhaa bandia(fake) kwa vitendo, kwenye maadhimisho ya kimataifa ya siku ya kudhibiti bidhaa bandia duniani yanayofanyika kitaifa Mlimani City, Dar Es Salaam, leo 18 July 2024.