EGHO Motors

Call Directions Contact the business

EGHO Motors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from EGHO Motors, Motor Vehicle Company, Sinza Vatican, Dar es Salaam.

Karibu, tunaagiza na kuuza magari kutoka JAPAN,UK,SINGAPOLE na kokote nje ya nchi magari yenye viwango vya hali ya juu, tuna zingatia ubora pia tunafanya huduma ya clearing pia spares parts zote za magari 0766633777 tupigie mikoa yote tunafika

18/09/2026

LINDA UWEKEZAJI WAKO NA EGHO MOTORS

Kununua gari si matumizi tu, ni uwekezaji mkubwa. Na kila uwekezaji unahitaji ulinzi.

Ndiyo maana EGHO MOTORS tupo hapa kuhakikisha tunakusaidia kulinda wewe na gari lako kupitia huduma zetu za bima za magari.

Tunakusaidia kupata bima inayokufaa kulingana na mahitaji yako:

✅ Third Party Insurance – Inakidhi matakwa ya kisheria na hulinda dhidi ya madai ya uharibifu unaoweza kuwasababishia watu wengine.

✅ Comprehensive Insurance – Ulinzi mpana zaidi kwa gari lako dhidi ya ajali, wizi, moto na hatari nyingine zilizofunikwa na bima, pamoja na dhima kwa watu wengine kulingana na masharti ya sera.

Kwa nini uchague EGHO MOTORS?

✔️ Ushauri wa kitaalamu kabla ya kuchagua bima.
✔️ Mchakato rahisi na wa haraka.
✔️ Tunakusaidia kupata bima inayolingana na bajeti na mahitaji yako.

Umewekeza kwenye gari lako, sasa linda uwekezaji wako.

🛡️ EGHO MOTORS COMPANY LIMITED

“Tunakusaidia si tu kumiliki gari, bali pia kulilinda.”

18/09/2026

NDINGA KIBUBU kutoka EGHO MOTORS

Usisubiri uwe na pesa zote ndipo ununue gari. Anza leo kwa kiasi unachomudu.

NDINGA KIBUBU ni mfumo maalum wa kukuwezesha kuwekeza fedha kidogo kidogo hadi utimize ndoto yako ya kumiliki gari.

Kwa nini uchague NDINGA KIBUBU?

✅ Haina kiwango cha chini cha kuanzia.
✅ Haina riba.
✅ Haina makato ya siri.
✅ Unaweka fedha kidogo kidogo kulingana na uwezo wako.
✅ Unaamua mwenyewe muda unaotaka kufikia lengo lako la kumiliki gari.

Iwe unaweka kila siku, kila wiki au kila mwezi, kila hatua unayochukua inakusogeza karibu zaidi na gari lako la ndoto.

Anza leo, wekeza kidogo kidogo, kesho endesha gari lako.

🔥 NDINGA KIBUBU

17/09/2026

Tuambie kwenye comment herufi gani nyingine ungependa kuifahamu

16/09/2026

🔥🔥ZIPO EGHO MOTORS 🔥🔥NA ZOTE UTAZIPATAA KWA

18,500,000/=🔥

16/09/2026

*🔥NEW ARRIVAL🔥*

MAZDA VERISA
Year:2005
Engine:1490cc
Color: Blue
Millage:76,194
Fuel: Petrol
Trans; Automatic

*OPTIONS*
A/c✅
Airbag✅
Power stering✅
Power window✅

*Price 18,500,000/=TSH*

16/09/2026

*MERCEDES BENZ GLC 🔥🔥🔥*
Price : Bei 120M
Contact

GLC COUPE 220D 4MATIC.
AMG sports
Year: 2017

Engine Capacity:2140
Fuel : Diesel
Color : Black
Engine code:651
Automatic Transmission

Burmester music system🔥
Side steps✅
5 Cameras✅(180)
20 inches Sports Rims✅
Leather seats✅

Address

Sinza Vatican
Dar Es Salaam
2233

Telephone

+255622576225

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EGHO Motors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to EGHO Motors:

Shortcuts

Share