Magari Used Dar Es Salaam

Magari Used Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tunauza & tunaagiza magari bora kutoka nje ya Tanzania
❀️ Tunanunua Magari kutoka wamiliki halali
πŸ“ž 0711 398 600 | 0765 708 039
🌍 Namba 1 Afrika
(5)

Mtu yeyote ana thamani. Wainue wengine kila unapopata nafasi, maana hujui ni nani atakayebadilisha dunia kesho. Heshima,...
05/06/2026

Mtu yeyote ana thamani. Wainue wengine kila unapopata nafasi, maana hujui ni nani atakayebadilisha dunia kesho. Heshima, upendo na maneno ya kutia moyo havigharimu chochote, lakini vinaweza kubadilisha kila kitu.

K**a huwezi kumuinua mtu, usimshushe. K**a huwezi kumsaidia, mpe heshima. Maneno machache ya kutia moyo yanaweza kubadilisha maisha ya mtu kuliko unavyofikiria.

Tuishi kwa upendo, heshima na moyo wa kuwainua wengine. ❀️

05/06/2026

πŸ“² WhatsApp/Call: 0711 398 600 / 0765 708 039

Tunakusaidia kumiliki gari kwa njia rahisi, salama na ya uhakika hapa Tanzania.

βœ”οΈ Tunauza magari yaliyopo Tanzania
βœ”οΈ Tunaagiza magari kutoka Japan, UK na Dubai
βœ”οΈ Mfumo wa kulipa kidogo kidogo upo
βœ”οΈ Exchange (badilisha gari + ongeza) inaruhusiwa
βœ”οΈ Tunakusaidia kupata mkopo wa gari
βœ”οΈ Tunamuuzia mtu gari lake kwa utaratibu maalumu wa kiofisi (consignment)
βœ”οΈ Tunauza urembo wa gari wa aina zote (TV, music system, accessories n.k)
βœ”οΈ Mauzo yote yanafanyika kwa uwazi kupitia mkataba wa ofisini

πŸ”₯ Tunauza kwa taarifa sahihi, sio hadithi.

πŸ“ Njoo ofisini ukague magari na upate ushauri sahihi kabla ya kununua





05/06/2026
05/06/2026

Mjomba Hana neno, Nafurahi sana na Maneno yake ya k**a mtu wa pwaniπŸ˜…

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magari Used Dar Es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Magari Used Dar Es Salaam:

Share

Category