eMo BodaBoda

eMo BodaBoda e-Mobility Solutions in Tanzania. Bodaboda za kuchaji. Huhitaji Mafuta.

-Kwanini uhangaike na mafuta?eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa um...
10/09/2024

-Kwanini uhangaike na mafuta?
eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa umeme wa buku tu unaweza tembea Km 100

Karibu sasa ujipatie Bodaboda yako.

Tupo Magomeni-Mwembechai plaza

#0692734507 #+255683078788 #+255629075508

Katika kuhakikisha kuwa Tanzania tunafanya mapinduzi ya usafiri kupitia pikipiki na bajaji za kuchaji,sisi emomobility t...
09/09/2024

Katika kuhakikisha kuwa Tanzania tunafanya mapinduzi ya usafiri kupitia pikipiki na bajaji za kuchaji,sisi emomobility tunazo bidhaaa bora sokoni ambazo znaendelea kutatua changamoto za:-
🤝uchafuzi wa hali ya hewa
🤝kelele
🤝gharama ya mafuta
Nb: #0629075508 kwa mawasiliano zaidi

Kijana wakitanzania anajipatia kipato kupitia emobodaboda,Anaingiza kipato bila mawazo ya mafuta.Ni kwa bei ya 3,600,000...
07/09/2024

Kijana wakitanzania anajipatia kipato kupitia emobodaboda,
Anaingiza kipato bila mawazo ya mafuta.
Ni kwa bei ya 3,600,000/= unajipatia chombo kutoka emomobility.💯


Boda boda zetu katika matumizi ya delivery..💯Kwa bei nafuu kabisa wew mfanya biiashara unaweza kujipatia boda boda ambay...
06/09/2024

Boda boda zetu katika matumizi ya delivery..💯
Kwa bei nafuu kabisa wew mfanya biiashara unaweza kujipatia boda boda ambayo utafanya delivery kwa uhuru zaidi.
Tupo magomeni mwembe chai na kwa mawasiliano zaidi tupigie 0629075508
👌💯smile more,stress less with emo mobility products..
NB:inauwezo wakwenda hadi km 100 kwa charge na speed ni 100km/h

Smile more,stress less with emobodaboda,hii ni pikipiki ambayo huwezi kuikuta inaingia sheri💯Sisi k**a emobodaboda tunas...
05/09/2024

Smile more,stress less with emobodaboda,hii ni pikipiki ambayo huwezi kuikuta inaingia sheri
💯Sisi k**a emobodaboda tunasema ni mwiko kwenda sheri
NB:Ni ya kuchaji na inaweza kwenda hadi km 100 kwa charge,karbuni

Tumekua bora zaidi katika ulimwengu wa electric mobility,emo mobility tulipokea ugeni wa mr michael kutoka kampuni ya (R...
04/09/2024

Tumekua bora zaidi katika ulimwengu wa electric mobility,emo mobility tulipokea ugeni wa mr michael kutoka kampuni ya (RDO) iringa ambao ulilenga kuja kujipatia bidhaa zetu za emobodaboda na emo tuktuk..
Tunawakarbisha makampuni mengne ambayo yanataman kufanya partnership ya kibiashara na sisi....
We are very proud of our products .
Karibuni tupo magomeni mwembe chai.🤝🤝

Our pride💯💯💯emo boda boda pia zinaweza kutumika kufanya delivery ya mizigo hadi kilo 250.Ewe mfanya biashara usihangaike...
03/09/2024

Our pride💯💯💯
emo boda boda pia zinaweza kutumika kufanya delivery ya mizigo hadi kilo 250.
Ewe mfanya biashara usihangaike kutafuta usafiri wa kukufanyia delivery njoo emo ujipatie boda boda kwa bei nafuu.
Karibuni!..
NB:Tupo magomeni mwembe chai plaza karibu na kituo cha mwendokasi mwembe chai

💯Free service..kwa bidhaa zetu za emomobility tunayo huduma ya wew mteja kurekebishiwa na kuboreshewa emobodaboda pale i...
30/08/2024

💯Free service..kwa bidhaa zetu za emomobility tunayo huduma ya wew mteja kurekebishiwa na kuboreshewa emobodaboda pale inapopata shida bureeee! kabsa
Karibu ujipatie bidhaa za emomobility
💯karibu ujipatie bidhaa zetu za emomobility
Tupigie:0629075508/0683078788

💯Ulipo tupo chagua emobodaboda kwa matumizi bila kuwa na mawazo ya mafuta ni kwa nguvu ya buku tu💯kwa wale wa bodaboda b...
26/08/2024

💯Ulipo tupo chagua emobodaboda kwa matumizi bila kuwa na mawazo ya mafuta ni kwa nguvu ya buku tu
💯kwa wale wa bodaboda basi hii itakufaa zaidi kwa sababu kipato kikubwa kinaingia bila kuwaza bajeti ya mafuta
💯Ni rahisi kuitumia,inatumika kwa mzingira yeyote iwe ni mjini au vijijin.
💯haina uchafuzi wa mazingra
👉karibuni magomeni mwembe chai.

👉Electrify mobility in Tanzania💯💯👉Tuna yofuraha ya kuwatangazia wateja kuwa tumekuja na mifumo mipya ya ulipaji ambapo m...
26/08/2024

👉Electrify mobility in Tanzania💯💯
👉Tuna yofuraha ya kuwatangazia wateja kuwa tumekuja na mifumo mipya ya ulipaji ambapo mteja anaweza kupata bidhaa kwa mkopo kwa kianzio cha 75%.
Tembelea ofisini kwetu kwa maelezo zaidi🤝🤝🤝

-Kwanini uhangaike na mafuta?eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa um...
24/08/2024

-Kwanini uhangaike na mafuta?eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa umeme wa buku tu unaweza tembea Km 80.
Karibu sasa ujipatie Bodaboda yako.

Tupo Magomeni-Mwembechai plaza

-Kwanini uhangaike na mafuta?eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa um...
23/08/2024

-Kwanini uhangaike na mafuta?eMo Bodaboda ndio chaguo lako sahihi,Bodaboda hii ni ya umeme haitumii mafuta,yaaani kwa umeme wa buku tu unaweza tembea Km 80.
Karibu sasa ujipatie Bodaboda yako.

Tupo Magomeni-Mwembechai plaza

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00

Telephone

+255653708429

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when eMo BodaBoda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share