Dluxe Tz

Dluxe Tz DLUXE MOTOR WORKS is the best car detailing company which provides top notch services to pamper your car and etc.

Our main AIM is to restore | maintain | protect
(Kurejesha , kudumisha , kulinda) The beauty with its own sparkle and shine.

Full Body painting
22/10/2021

Full Body painting

MERCEDES BENZ E class … FRONT HEAD LIGHTS RESTORATION ✅Hii ni huduma, ya kurejesha muonekano bora wa taa za gari yako, p...
15/10/2021

MERCEDES BENZ E class … FRONT HEAD LIGHTS RESTORATION ✅
Hii ni huduma, ya kurejesha muonekano bora wa taa za gari yako, pia inasaidia kuongeza kiwango cha usalama kwa kutoa mwanga ang’avu ili kumuwezesha dereva kuona kwa uwazi hatari zilizopo mbele yake. Pia huduma hii husaidia kurejesha uzuri na muonekano wa gari yako na kurejea katika hali yake ya kiwandani.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu kwa mashauriano juu ya gari lako na kile tunaweza kufanya kwa ajili ya kurejesha, kudumisha na kulinda muonekano na uzuri wa gari lako.
+255 788 581 586
Tunapatikana
Sinza-Palestina
Kwaremi St, Saifai Rd
Dar es Salaam.

14/10/2021

CERAMIC WINDOW TINT… ni special films ambazo zinafanyiwa installation kwenye vioo vya gari yako kwa madhumuni mbalimbali k**a vile:

• Kulinda furniture za ndani ya gari, k**a vile dashboard, seatcovers ili kuepuka kupauka, kupasuka na kuchakaa.
• Kulinda dhidi ya miale ya jua.(UV rays)
• Inaleta faragha (Privacy), na usiri ndani ya gari.
• Kulinda dhidi ya ajali, endapo kioo kikivunjika vipande vidogo vidogo visiruke.
• Inakufanya uwe huru ndani ya gari yako.
Tunafanya huduma hii kwenye gari za aina zote.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi au fika ofisini kwetu kwa mashauriano juu ya gari lako na kile tunaweza kufanya kwa ajili ya kurejesha, kudumisha na kulinda muonekano na uzuri wa gari.

Gharama zetu ni nafuu sana, wasiliana nasi kupitia namba 📞 +255 788 581 586.
📍Tunapatikana
Sinza-Palestina
Kwaremi St, Saifai Rd
Dar es Salaam.

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
14/10/2021

Tunawatakia maadhimisho mema ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

13/10/2021

OCTOBERS FANTASY OFFER 💥💥💥💥💥 50% DISCOUNT

•DASHBOARD REPAIR ✅
Huduma, hii inahusisha kurekebisha aina zote za dashboard, zilizochoka, zenye mikwaruzo, na kupasuka, ili kuzipa muonekano mpya na wenye mvuto kulingana na mahitaji ya mteja, kwa kutumia material zenye ubora wa hali ya juu na kudumu kwa muda mrefu (lifetime guarantee). Pia tunarekebisha console, gear level, steering wheel, door panels, seat covers na huduma nyingine nyingi.
Tunafanya huduma hii kwenye gari za aina zote.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu kwa mashauriano juu ya gari lako na kile tunaweza kufanya kwa ajili ya kurejesha, kudumisha na kulinda muonekano na uzuri wa gari.
Gharama zetu ni nafuu sana, wasiliana nasi kupitia namba 📞 +255 788 581 586.
📍Tunapatikana
Sinza-Palestina
Kwaremi St, Saifai Rd
Dar es Salaam.

3 DAYS AGO

More posts from dluxetz

See More Posts

Instagram

Log inOpen App

TOYOTA LAND CRUISER 200, 2015.STEERING WHEEL, GEER LEVER K**B REAPIR AND UPGRADE. ✅We have dragged the boring rubber ste...
08/10/2021

TOYOTA LAND CRUISER 200, 2015.
STEERING WHEEL, GEER LEVER K**B REAPIR AND UPGRADE. ✅

We have dragged the boring rubber steering wheel and put a new leather steering wheel cover to give it a fresh and astonishing factory look.

Reach out to us for a free consultation on your car and what we can do for a full detailing service.
Call and WhatsApp at 📞 +255 788 581 586
📍We are Located at
Sinza-Palestina,
Kwaremi st, Saifai Rd
Dar es Salaam.

Reach out to us for a free consultation on your car and what we can do for a full detailing service.Call and WhatsApp at...
08/10/2021

Reach out to us for a free consultation on your car and what we can do for a full detailing service.
Call and WhatsApp at 📞 +255 788 581 586
📍We are Located at
Sinza-Palestina,
Kwaremi st, Saifai Rd
Dar es Salaam.

07/10/2021

TOYOTA PREMIO 2010
FULL BODY PAINT✅
Hii ni huduma imefanyika kurudia rangi gari hii pamoja na kuondoa mikwaruzo ya bodi, ili kuipa gari yako muonekano mzuri wenye kupendeza na kuhakikisha gari yako inarudi katika muonekano wake wa kiwandani, kulingana na mahitaji ya mteja wetu.

Tunafanya huduma hii kwenye gari za aina zote.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu kwa mashauriano juu ya gari lako na kile tunaweza kufanya kwa ajili ya kurejesha, kudumisha na kulinda muonekano na uzuri wa gari.

Gharama zetu ni nafuu sana, wasiliana nasi kupitia namba 📞 +255 788 581 586.
📍Tunapatikana
Sinza-Palestina
Kwaremi St, Saifai Rd
Dar es Salaam.

05/10/2021

CUSTOMERS FEEDBACK
“We really pride ourselves on giving a high quality customer experience and we like nothing better than hearing really good feedback and reviews from our customers “

Reach out to us for a free consultation on your car and what we can do for a full detailing service.
Call and WhatsApp at 📞 +255 788 581 586
📍We are Located at
Sinza-Palestina,
Kwaremi st, Saifai Rd
Dar es Salaam.

05/10/2021

KARIBUNI SANA DLUXE MOTOR WORKS TANZANIA.
Huduma tunazotoa ni
• Paint Protection Film ( PPF )
• Ceramic coating
• Ceramic window tint
• Paint correction
• Collision body repair
• Rim restoration and protection
• Full detailing services
• Leather repair and Upholstery
• Premium car wash
Kwa maelezo Zaidi fika ofisini kwetu kwa ushauri wa bure juu ya gari lako na kile tunaweza kufanya kwa ajili ya Kurejesha uzuri wa gari lako, Kudumisha na Kulinda muonekano wa gari lako.
+255 788 581 586
Tunapatikana
Kwaremi St, Saifai Rd
Sinza-Palestina,
Dar es Salaam.

Address

Dar Es Salaam
1114

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00
Sunday 10:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dluxe Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dluxe Tz:

Share