hrd.radiator

hrd.radiator HRD Radiator Company is a registered company where
all kinds of Radiator related problems get the b

13/12/2023

😎🫶

Send a message to learn more

09/04/2021

Fika sasa tukuhudumie......

04/04/2021
 KWA PAMOJA INAUNGANA NA WAKRISTO WOTE DUNIANI KATIKA SIKU HII YA IJUMAA KUU.
02/04/2021

KWA PAMOJA INAUNGANA NA WAKRISTO WOTE DUNIANI KATIKA SIKU HII YA IJUMAA KUU.

IMEZOELEKA  NI NGULI WAKUTENGENEZA REJETA ZA MAGARI🚚🚛🚙 PEKEE MAKUBWA NA MADODO, LAKINI NI WABOBEZI PIA WA KUFANYA SERVIC...
01/04/2021

IMEZOELEKA NI NGULI WAKUTENGENEZA REJETA ZA MAGARI🚚🚛🚙 PEKEE MAKUBWA NA MADODO, LAKINI NI WABOBEZI PIA WA KUFANYA SERVICE YA REJETA ZA MITAMBO YA AINA YOYOTE, MUDA, USAHIHI NA UMAKINI WA KAZI HII NDIO NGAO YETU.

BILAKUSAHAU TUNAFUATA NA KUREJESHA REJETA YAKO POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA VIUNGA VYAKE VYA KARIBU. 📍📍TUNAPATIKANA UBUNGO MAWASILIANO MKABALA NA NJIAPANDA YA GETI LA CHUO KIKUU UDSM AU UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO. ☎️ +255 716 995 561 AU +255 744 451271
📝 [email protected]

Cc


31/03/2021

MAFUNDI WETU PAMOJA NA UONGOZI WA
NI NGUZO MOJAWAPO YA KUHAKIKISHA MTEJA ANAFURAHIA HUDUMA ZETU, TUNATOA HUDUMA YA KUPOKEA NA KURUDISHA REJETA POPOTE PALE TANZANIA.

NA WEWE FIKA KAMPUNI BORA KABISA KATIKA UTENGENEZAJI WA REJETA, INTERCIOLER NA OIL COOLER, HIVI VYOTE NI VIPOOZO VYA INJINI YA USAFIRI WAKO PAMOJA NA MITAMBO YOTE, TUNATIBU MATATIZO YAFUATAYO:- ~Kubadili Core na Tank ~Kupasuka kwa Tank za Plastic ~Kuchemsha ~Kuvujisha ~Kuongeza njia kwenye Rejeta ~Kuziba kwa uchafu kwenye njia za maji ~Tunabadili Tank za plastic kwenda Shaba na Aluminium

KWETU SISI HATUNA REJETA MBOVU, K**A UNAHISI REJETA YAKO IMEKWISHA MUDA WAKE TAFADHALI TUONE SISI NA TUTAIRUDISHA KWENYE UBORA WAKE NA UTENDAJI MADHUBUTI KABISA.

WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO ☎️
+255 716 995 561
+255 744 451 271
[email protected] 📍📍TUNAPATIKANA UBUNGO MAWASILIANO MKABALA NA NJIAPANDA YA GETI LA CHUO KIKUU. 📝 [email protected]

Ofisi zipo wazi kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 11:00 Jioni, kwa siku za Jumamosi tupo wazi kuanzia saa 2:30 Asubuhi mpaka saa 7:00 Mchana.

📸 by

KWA NIABA YA UONGOZI WA  TUNAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUPONGEZA DKT. PHILIP MPANGO KWA KUTEULIWA NA MH. RASI MAMA SAM...
30/03/2021

KWA NIABA YA UONGOZI WA TUNAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUKUPONGEZA DKT. PHILIP MPANGO KWA KUTEULIWA NA MH. RASI MAMA SAMIA SULUHU KUWA MAKAMO WAKE WA RAISI.

24/03/2021

Karibu tukuhudumie tunapatikana Unungo mawasiliano njiapanda ya geti la chou Maji.

Tupo wazi kila siku za jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa 2:00 mpaka saa 11:00 Jioni, kwa siku za jumamosi tupo wazi kuanzia 2:00 mpaka saa 7:30 mchana.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za simu zifuatazo :-
+255 716 995 561
+255 744 451 271

Au unaweza kutofollow kupitia social networks zetu ambazo ni :-
Facebook
Instagram
Twitter
LinkedIn

HONGERA RAISI WETU MPYA, TUNAAHIDI KUCHAPAKAZI NA KUHAKIKISHA TUNASONGA MBELE KWAKUUNGA MKONO JITIHADA ZAKO.
19/03/2021

HONGERA RAISI WETU MPYA, TUNAAHIDI KUCHAPAKAZI NA KUHAKIKISHA TUNASONGA MBELE KWAKUUNGA MKONO JITIHADA ZAKO.

Leo nisiku ya pili ya maombolezo ya Msiba mzito uliolikumba Taifa Letu, bado  tunakuhudumia popote ulipo ndani ya Dar es...
19/03/2021

Leo nisiku ya pili ya maombolezo ya Msiba mzito uliolikumba Taifa Letu, bado tunakuhudumia popote ulipo ndani ya Dar es salaam na haya mikoa ya karibu.

Address

Hrd Radiator Company
Dar Es Salaam
1###X

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when hrd.radiator posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to hrd.radiator:

Share