huca_carwash

huca_carwash Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from huca_carwash, Dar es Salaam.

05/07/2025

K**a Gari yako Imepata Ajali au Mikwaruzo kwenye Bampa Au Umechoka Rangi , Unataka Kubadilisha njoo Huca Tunakupa Kilicho Bora Kwa Bei Nzuri … Piga Simu Namba 0759901111

Je, Umefanya Service?⚙️Njoo  leo ufanye ‘general car service’, kwa magari ya aina zote na upate ushauri wa bure kuhusu g...
05/09/2023

Je, Umefanya Service?⚙️
Njoo leo ufanye ‘general car service’, kwa magari ya aina zote na upate ushauri wa bure kuhusu gari lako kutoka kwa mafundi wetu wabobevu👨🏽‍🔧
Ukinunua vifaa kwetu k**a oil filters na vingine utalipa 15,000 na ukija na vifaa vyako utalipa 20,000 k**a ‘Labor Charges’🧰
📍Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu
📞Tupigie 0759901111

Karibu  kwa huduma ya kupaka rangi gari lako kwa ubora usio na kifani BILA KASORO!😎Tunatumia teknolojia ya kisasa kuchan...
29/08/2023

Karibu kwa huduma ya kupaka rangi gari lako kwa ubora usio na kifani BILA KASORO!😎
Tunatumia teknolojia ya kisasa kuchanganya rangi za magari na kuhakikisha unapata rangi halisi🎨
Iwe unataka kurudia rangi au gari limepata ajali, ndio sehemu pekee ambayo ina mafundi wabobevu kwenye unyooshaji wa magari (Panel beating) na kurudisha gari lako kwenye hali yake ya kawaida🚘
📍Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu
📞Tupigie 0759901111

Je, rim zako zimechakaa?🛞Usiziwe kubadilisha au kuzitupa😎Njoo  leo tuzifanye rim zako kuwa mpya tena✨Tunapiga rangi hali...
22/08/2023

Je, rim zako zimechakaa?🛞
Usiziwe kubadilisha au kuzitupa😎
Njoo leo tuzifanye rim zako kuwa mpya tena✨
Tunapiga rangi halisi kwa bei nafuu kuanzia 150,000 kutegemea na size ya rim zako🚘
📍Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu.
📞Tupigie 0759 901111

Rudisha gari lako kwenye upya wake✨Leta gari lako  leo kwa huduma ya Carwash na Detailing ikijumuisha yafuatayo;1️⃣Kuosh...
15/08/2023

Rudisha gari lako kwenye upya wake✨
Leta gari lako leo kwa huduma ya Carwash na Detailing ikijumuisha yafuatayo;

1️⃣Kuosha gari kwa ujumla.
2️⃣Kufanya Car wax na kung’arisha.
3️⃣Kusafisha seat, roof na kutoa madoa yote ndani ya gari.
4️⃣Kutoa mikwaruzo midogo na mikubwa nje ya gari.

📍 Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu.
📞Tupigie 0759 901111

Heri ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane🌾Kwa kuthamini mchango wa wakulima nchini,  tunatoa punguzo la 10% kwa huduma ya ku...
08/08/2023

Heri ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane🌾
Kwa kuthamini mchango wa wakulima nchini, tunatoa punguzo la 10% kwa huduma ya kuosha gari 🔖
Ofa inapatikana hadi Jumapili, Agosti 13!🗓️
📍 Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu.
📞Tupigie 0759 901 111
😎Ukifika onesha screenshot ya hili tangazo kupata ofa yako.

Karibuni sana ✨️📍 Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu
31/07/2023

Karibuni sana ✨️
📍 Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu

Karibuni sana ✨️📍Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu
17/07/2023

Karibuni sana ✨️
📍Tunapatikana Kijitonyama Mitimirefu

Je trye zako zimechoka na unawaza wapi pa kupata trye zingine imara tena kwa bei nafuu na zenye Ubora...Jiunge Leo na ma...
21/06/2023

Je trye zako zimechoka na unawaza wapi pa kupata trye zingine imara tena kwa bei nafuu na zenye Ubora...

Jiunge Leo na maelfu ya wateja walio chagua kwa trye yenye ubora tena kwa bei Rafiki kabisaa

Kwa kukudhamini wewe Mteja wetu unaponunua trye kuanzia mbili (2) utapata punguzo la asilimia 50% kwenye huduma ya WHEEL ALiGNMENT na punguzo la asilimia 10% kwenye upande wa CARWASH 👌

Karibuni sana tunapatikana kijitonyama mitimirefu au unaweza kuwasiliana nasi kwa Simu no 0759901111

02/06/2023

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when huca_carwash posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share