NAVY Company Limited

NAVY Company Limited (Cash na Mkopo mpaka miaka miwili)Tunaagiza Magari kutoka Japan📍Europe📍Dubai📍na Singapore?

2006 Land Rover Range Rover Sport 2.7🔥🔥 TDV6 HSE 5dr AutoESTATE Diesel Automatic81995 milesDieselIna seats 5🚙🚙LIPIA 25 M...
24/10/2023

2006 Land Rover Range Rover Sport 2.7🔥🔥 TDV6 HSE 5dr Auto
ESTATE Diesel Automatic
81995 miles
Diesel
Ina seats 5
🚙🚙
LIPIA 25 Million tu.. tukakibidhi ikiwa imesajiriwa, na offer ya fire extinguisher na triangle, pamoja na mafuta ya kuanzia safari🫰🤞

Kiasi kinachobaki 14Million utalipa taratibu kwa mwaka mmoja mpaka miaka miwili... yaani kidogo kidogo bila stress💎

Tupigie☎️
0655226640

0756546373

📍Fika ofisini kwetu Salamander Building (GSM), 4th floor, Samora street, Dares salaam.

01/12/2022
Hi ni Volkswagen Touareg 2005, Inatoka UK (Ulaya)Imetembea 63,300 km Tu.. Ni Automatic na inatumia Diesel (kwahiyo haili...
25/11/2022

Hi ni Volkswagen Touareg 2005, Inatoka UK (Ulaya)

Imetembea 63,300 km Tu..

Ni Automatic na inatumia Diesel (kwahiyo haili mafuta, sio k**a Petrol).. ni Gari imara sana, tunauhakika mpaka mjukuu atatumia. Ina Leather Interior/Tow bar/ Sat NavI A/C/Steering Switches/Radio/Power windows/ Power steering na vitu Vingine Kibao, Rangi ni GREY, na ni BLACK interior.

LIPIA MILLION 20 Tu, tutakukabidhi...

kiasi kingine kinachobaki 18 Million utalipia taratibu Kwa kipindi hadi cha mwaka mzima.
NAVY COMPANY PEKEE NDIO WANAUHAKIKA WA KIKUPA KILICHO BORA.

Fika ofisini kwetu:
TWIGA HOUSE, 5TH FLOOR, SAMORA STREET, DARES SALAAM.

Tupigie: ,0655226640, 0763980083, 0756546373,
Au WhatsApp * 0655226640, 0756546373.

Hii ni Toyota Coaster,Ya mwaka 2001,Ina 4,200 cc,AUTOMATIC,Ina nafasi au uwezo wa kubeba abiria mpaka 29,Modeli yake ni ...
19/11/2022

Hii ni Toyota Coaster,
Ya mwaka 2001,
Ina 4,200 cc,
AUTOMATIC,
Ina nafasi au uwezo wa kubeba abiria mpaka 29,

Modeli yake ni HDB50

Kwa gharama ndogo kabisa, 37 Million, tutakuagizia na kukukabidhi….

Kiasi kidogo kinachobaki (20 Million), italipwa kidogo kidogo hadi mwaka mmoja.

Kwa Mawasiliano tupigie simu 0655226640 au 0756546373. Au fika Ofisin kwetu mtaa wa Samora, Jengo la Twiga House, Ghorofa ya tano.

Au tutumie WhatsApp 0655226640

Hakuna sehemu nyingine Unaweza kupata unafuu zaidi ya NAVY COMPANY.

✊✊

NISSAN DUALIS 2009
19/11/2022

NISSAN DUALIS 2009

Toyota PREMIO, DBA-ZRT260 Ni ya 2008,Injini ni AUTOMATIC,ZRT260-3032132In uwezo wa injini 1790 cc,Imetembea 85,701 km tu...
19/11/2022

Toyota PREMIO, DBA-ZRT260
Ni ya 2008,
Injini ni AUTOMATIC,
ZRT260-3032132
In uwezo wa injini 1790 cc,
Imetembea 85,701 km tu,

18/11/2022

Tumekabidhi… saaafi!!

Mwanachi anamwagilia moyo

Address

Samora Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Telephone

+255655226640

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NAVY Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category