05/10/2026
Gari lilifika Uptown Customz likiwa limeharibika na kuhitaji kazi kubwa ya body, paint na finishing.
Tumeweka umakini kwenye kila detail mpaka likarudi kwenye mwonekano safi, glossy na wa kuvutia. โจ
Uptown Customz โ Tunarekebisha. Tunaboresha. Tunabadilisha.
๐ :MIKOCHENI WARIOBA
๐:0712 202 969
Lete gari lako, sisi tunalirudisha kwenye ubora unaostahili.
BeforeAndAfter AutoBody TanzaniaCars