Retruck

Website

Retruck 🩸Vision 2B: Vehicle Builders
‼️Euro & Chinese Truck Sellers
🛑Repair, Maintain & Refurbish Trucks.
🔧For Business ☎️+255718166551
Trucks On Sale 👇👇👇👇

25/09/2026

Boss tipper ni Mchina.

K**a unahitaji tipper yenye Nguvu na imara Kwa kazi ngumu, mazingira Magumu, na inayobeba mzigo mwingi.

Ninayo Shacman tipper mpya kabisaa imetumika Miezi 6 tu,

Bei: 145M, Maongezi yapo.
Ipo Morogoro mjini.

SIMU ZIITE: 📍+255718166551.

24/09/2026

Unaambiwa biashara zinatoka American na European business models and standard, kuelekea Chinese Business Model and standard.

Kinachofanyika ni kufit katika system mpya ya uchumi wa kichina, uchumi wa mbio mbio katika technology, uzalishaji na miundombinu.

Wakati wewe unapamba gari za ulaya kwa sifa na kisifia zinadumu

Matajiri hawaangalii sifa wanaangalia mahesabu yanasemaje na yanamuweka wapi katika kulitawala soko.

Halafu wanaagiza magari, ndio maana hata ukisema vibaya Lori za Mchina wao wanaagiza michina,

Ukiwa k**a mfanyabiashara lazima ujue kutofautisha ushabiki na mahesabu ya kibiashara.

Wale wanaohitaji malori, trailers na Matengenezo ya malori,

SIMU ZIITE 📍+255718166551

24/09/2026

Hii gari mwenyewe aliagiza kutoka china Moja kwa Moja, lakini Hana mzunguko mkubwa wa biashara.

Ameitumia miezi 6, Haina kipengele chochote, mpaka warranty anakupa, mpaka sasa Bado IPO kazini.

K**a unahitaji kuagiza tipper, au unahitaji tipper ya kazi, wahi huyu mwanajeshi wa kichina

Offer: 147M, Gari Iko Morogoro
Kwa mahitaji tuwasiliane
✅ Serious Buyer Maongezi kwenye gari.

Simu ZIITE ☎️+255718166551

24/09/2026

SIMU ZIITE, IPO KAZINI
+255718166551

24/09/2026

Ubaya ni kwamba biashara ni mahesabu na sio ushabiki.

Scania mnayesema anamagari yanadumu miaka 100 kapelekewa moto kaamua kukubali yaishe, kasalimu amri kwa Mchina.

Kufanya uwekezaji wa takribani $2billion kutosha ili production ifanyike na china, na hiyo kwenye video ni batch ya kwanza ya Scania china.

Tuendelee na ushabiki kuponda Mchina ila Kila mfanyabiashara atatubu mda si mrefu,

Utagundua lifespan ya Lori Lako Haina maana k**a huwezi kushindana kibiashara sokoni

kwa mahitaji ya malori mapya na used simu ZIITE

pia k**a unauza Lori Lako wasiliana nasi tumpe anayelitaka.

mawasiliano: +255718166551.

23/09/2026

Njia rahisi ya kupata Billioni Yako ya kwanza,

Nunua gari hii ya Kichina Anza biashara ya Usafirishaji, hautakuwa na kelele za matengenezo Wala madereva kusumbua mafuta,

Focus Yako ni kukuza biashara, ukisoma mzunguko, unakopa unaongeza magari.

Hizi gari ni bei rahisi na ziko vizuri kibiashara.

Ukimuona mtu anaziponda ujue sio mfanyabiashara Bali ni shabiki wa magari.

Kila aliyezijaribu hizi gari kanogewa kuongeza, kutokana na ufanisi na urahisi katika uendeshaji kibiashara

✅K**a unahitaji malori mapya na used wasiliana nasi.

Simu ZIITE: 📍+255718166551.

23/09/2026

Tajiri anasafisha yard ili alete ndinga mpya.

Gari hazina changamoto, unaona unafika bei fika site kagua lipia Uondoke nayo.

Simu ZIITE 📍 +25578166551
Gari zipo kiwalani

23/09/2026

Ukishajua utajiri wa biashara ya malori, kazi ni kupata pesa ya kununua gari Lako, kinacho Fuata ni kutafuta ndinga ufanye vyovyote uingie road kwasababu unajua, ikigusa barabara umasikini bye bye.

Sasa ndio Kitu jamaa wanafanya,

Wakati wewe unaringa wanaojua biashara hawachagui chuma, wanataka kuingia barabarani kwanza

Ndio wanachofanya jamaa Hawa, hawana pesa ya kununua cabin, wameamua kununua chuma used iliyopaki wanachonga cabin waingie barabarani kwanza.

Endelea kukataa magari used, huku watu wanawaza ROI.

K**a unahitaji Lori used au jipya kwaajili ya kuingia barabarani,

Simu ZIITE 📍+255718166551

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Retruck posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share