Warriors car agent

Warriors car agent Tunamsaidia mteja kuagiza gari analolitaka kutoka Japan na UK kwa gharama nafuu huku. gari analochagua ndio atakalo lipokea.

Chakufanya unatutumia aina ya gari ulili lipenda tunakuagizia

Pia tunauza magari used ya hapa Tanzania

NISSAN JUKEusajili wa gari: 2010/7kilometa: 48,249kmukubwa wa engine:1500ccSteering RightTransmission AutomaticFuel Gaso...
21/08/2021

NISSAN JUKE
usajili wa gari: 2010/7
kilometa: 48,249km
ukubwa wa engine:1500cc
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Toleo DBA-YF15
VIN/Serial No. YF15-006049
BodyType SUV
Door 5
Passengers:5
*******************************
Bei: 9,879,480
TAX: 9,200,178.73
CLEARANCE: 800,000( bila Bima)

14/08/2021

Warriors Agent tunakusaidia wewe mteja kupata Gari unalolitaka.

Mteja atafanya malipo yote ya gari mwenye hivyo kujua thamani halisi ya gari

Gharama za kukusaidia kuagiza gari na ushauri ni 200,000 (haihusiani na gharama za kutoa gari bandarini)

Address

FARU NA KONGO
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Warriors car agent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share