hrdradiatorcompany

hrdradiatorcompany Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from hrdradiatorcompany, Automotive, aircraft & boat, Ubungo Sinza C, Block 15 A, Dar es Salaam.

Good Morning Monday.
19/01/2026

Good Morning Monday.

A fresh Tuesday to choose your way 😄
02/12/2025

A fresh Tuesday to choose your way 😄

Jumaa Bukheri, inshaalah tunalifunga week la mwisho wa mwezi wa 11 tunaukaribisha mwezi wa mapumziko, na maanfalizi ya M...
28/11/2025

Jumaa Bukheri, inshaalah tunalifunga week la mwisho wa mwezi wa 11 tunaukaribisha mwezi wa mapumziko, na maanfalizi ya Mwaka mpya ujao.

Kwa ajili ya Safari za Wikendi (Focus: Amani ya Moyo)Headline: Ijumaa imefika! Gari yako ipo tayari kwa safari? 🚙💨Usiruh...
21/11/2025

Kwa ajili ya Safari za Wikendi (Focus: Amani ya Moyo)
Headline: Ijumaa imefika! Gari yako ipo tayari kwa safari? 🚙💨

Usiruhusu "Temperature" kuharibu mipango yako ya wikendi. Kabla hujaingia barabarani, hakikisha mfumo wako wa kupoza injini na mfumo wa mafuta viko clean na salama.

Tunatoa huduma ya kusafisha na kuzibua:
✅ Radiator & Intercooler: Kwa ajili ya ubaridi wa uhakika.
✅ Oil Cooler & Heat Exchanger: Tunalinda gearbox na injini isichemke.
✅ DPF Filters: Ondoa moshi mweusi, rudisha nguvu ya gari.
✅ Fuel Tank: Tunatoa uchafu na maji kwenye tenki la mafuta kulinda nozzles zako.
Fika leo, usafiri kwa amani kesho!
📍 Ubungo External, Makuburi Rd
📞 0716995561

Wiki Mpya Imeanza!​Leo ni Jumatatu, mwanzo mzuri wa kutimiza ndoto zako. Acha hofu na anza na nguvu mpya. Kila siku ni n...
17/11/2025

Wiki Mpya Imeanza!

​Leo ni Jumatatu, mwanzo mzuri wa kutimiza ndoto zako. Acha hofu na anza na nguvu mpya. Kila siku ni nafasi ya kipekee. Tukutane kileleni!

​Uwe na wiki njema yenye baraka na mafanikio.

Kila kilomita unayotembea inastahili amani ya akili. 🛣️Kwa zaidi ya miaka mingi, HRD Radiator Company imekuwa tegemeo la...
10/11/2025

Kila kilomita unayotembea inastahili amani ya akili. 🛣️
Kwa zaidi ya miaka mingi, HRD Radiator Company imekuwa tegemeo la madereva na wamiliki wa magari kwa kutoa Radiators za hali ya juu, zenye uimara na utendaji usiotiliwa shaka. Usikubali injini yako ichemke!
Tuamini sisi: Ubora ndio msingi wetu.
Je, injini yako inapata 'joto' unapoendesha? Tupigie simu sasa kwa ushauri!








TAARifa MUHIMU KWA WATEJA WETU WOTE!​Tunayo furaha kuwatangazia wateja na wadau wetu wote kuwa tumefanya mabadiliko ya o...
01/10/2025

TAARifa MUHIMU KWA WATEJA WETU WOTE!

​Tunayo furaha kuwatangazia wateja na wadau wetu wote kuwa tumefanya mabadiliko ya ofisi ili kuwahudumia vizuri zaidi.

​Tumehama rasmi kutoka eneo letu la zamani, Ubungo Mawasiliano (Njiapanda ya Chuo).

​Sasa, makao yetu mapya mazuri yanapatikana:
​External, Barabara ya Majichumvi
​Pembeni kabisa ya Raphael Garage

​Tunawaahidi huduma bora na za kipekee katika ofisi yetu mpya, Karibuni sana.

​Kwa maelezo zaidi:
☎️ +255 744 451 271
+255 716 995 561
✉️ [email protected]
🌐 www.hrdradiator.co.tz

Ni Monday nyingine, time ya kuanza wiki fresh bila stress! 😎Kwa HRD Radiator Company, tunahakikisha radiator yako iko sa...
01/09/2025

Ni Monday nyingine, time ya kuanza wiki fresh bila stress! 😎
Kwa HRD Radiator Company, tunahakikisha radiator yako iko sawa, safari zako hazina wasi wasi, na gari lako linaendelea kuwa hot on the road but cool under the hood. 🔥❄️

Tembea bila wasiwasi – sisi ndio Reliable Car Doctors wako.

📍 Ubungo – Sinza C, Block 15A, Dar es Salaam

📞 +255 716 995 561 | +255 744 451 271

🌐 www.hrdradiator.co.tz

Ijumaa njema wateja wetu wapendwa!Kabla ya kuingia weekend, hakikisha radiator yako ipo safi na salama. Karibu HRD Radia...
29/08/2025

Ijumaa njema wateja wetu wapendwa!
Kabla ya kuingia weekend, hakikisha radiator yako ipo safi na salama. Karibu HRD Radiator Company!

Tuesday Care 🛠️🔧 Jumanne hii, tunakumbusha: Usisubiri radiator ikuletee shida barabarani!Fika HRD Radiator Company tukuh...
26/08/2025

Tuesday Care 🛠️

🔧 Jumanne hii, tunakumbusha: Usisubiri radiator ikuletee shida barabarani!
Fika HRD Radiator Company tukuhudumie kwa haraka na ufanisi.

Address

Ubungo Sinza C, Block 15 A
Dar Es Salaam
16102

Opening Hours

Monday 08:00 - 05:30
Tuesday 08:00 - 05:30
Wednesday 08:00 - 05:30
Thursday 08:00 - 05:30
Friday 08:00 - 05:30
Saturday 08:00 - 01:30

Telephone

+255744451271

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when hrdradiatorcompany posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to hrdradiatorcompany:

Share