Road Trafficing And Safety Driving Ambassador

Road Trafficing And Safety Driving Ambassador Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Road Trafficing And Safety Driving Ambassador, Automotive, aircraft & boat, ±255759315803, Dar es Salaam.

14/11/2022

WhatsApp Group Invite

GARI LA MANUAL🙌K**a ni mala yako ya kwanza kuendesha gari la manual  inawezekana ikazima mara kwa mara unapo jaribu kuon...
14/11/2022

GARI LA MANUAL🙌
K**a ni mala yako ya kwanza kuendesha gari la manual inawezekana ikazima mara kwa mara unapo jaribu kuondoka usijari hii huwatokea wote wanaojifunza kuendesha gari la namna hi na hali hiyo huisha kadri anavyozidi kulizoea gari

➡️Gari linapo zima wakati unapotaka kuondoka hakikisha unarudisha gia lever kwenye alama (N) yaan neutral kisha unakanyaga clutch krachi
Na breki ndipo unaliwasha gari lako

➡️Gari likisha waka unaingiza gia namba 1️⃣ na unaanza kulegeza mguu kwenye clutch gari itaanza kuondoka

➡️Gari linapotembea hutatumia tu gia namba 1️⃣ kuendesha safari nzima itakubidi ubadilishe gia mara kwa mara ndio sababu gari ya aina hii inaitwa (manual transmission)

💪Unapokuwa unaendesha gari na lipo kwenye gia namba 1 kwenye dashbord kunakipimo kinacho onesha kiwango cha mzunguko wa injini kwa dakika (RPM) mshale unapo fika kuanzia 2500-3000 huu ndio muda mzuri wa kubadilisha gia kwenda namba 2 pia unaweza usiangalie kwenye kipimo (RPM) ukawa unasikiliza mvumo wa injini ya gari lako na kubaini🖐️

Address

±255759315803
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Road Trafficing And Safety Driving Ambassador posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share