06/12/2022
ARMREST MULTICONSOLE BOX.
Upo Kwenye Foleni Umechoka Huna Kwa Kuegemea Kupunguza Uchovu Wa Dakika Kadhaa, Basi Jibu NI ARMREST Ambazo Zitakufanya Kuwa Comfortable Uwapo Kwenye Gari Yako.
SIFA ZAKE
-Ina System Charge Ya Kucharge Mpaka Simu Tatu
-Ina Sehemu ya Kutunzia Kinywaji Chako
-Ina Sehemu Ya Kutunzia Vitu Vyako K**a Vile Simu, Pesa Na Vinginevyo.
Zinapatikana Katika Maduka Yetu yote..!
Mikoani Tunatuma Kwa Gharama Za Mteja!