09/07/2022
Je, Unafahamu?
(battery)
N40, N50, N70, N120, na N150
■Zote hutoa 12 za nishati ya umeme ila voltage hizo hutofautiana nguvu kulingana na size.
■Kitaalam N40 na 50 kwa gari ndogo.
N70 kwa magari ya kati k**a pick up
N120 na 150 kwa magari makubwa .