Kinglion

Directions Website

Kinglion Kinglion Investment Company Limited is one of the fast-growing company in East and Central Africa.

The company has maintained the best quality products at an affordable price. Kinglion products are motorcycles, roofing sheets,Guta, and spare parts

10/10/2026

Neno la shukrani kutoka kwetu kuja kwako mteja wetu. Katika wiki ya Huduma kwa Wateja tunasema:

KINGLION: Best Quality, Best Price, Best Service

Kilele cha wiki ya Huduma kwa Wateja, Kinglion tumekata keki ya kuashiria ubora wa huduma ambazo wateja wetu wanaendelea...
09/10/2026

Kilele cha wiki ya Huduma kwa Wateja, Kinglion tumekata keki ya kuashiria ubora wa huduma ambazo wateja wetu wanaendelea kupata kutoka kwetu.

Kipaumbele chetu ni ubora wa bidhaa unaoendana na huduma zetu nchi nzima kwa bidhaa za pikipiki, guta na mabati.

tanzania

📍Chombo cha uhakika kubeba mzigo wako popote kwenye msimu huu wa mvua ni KL250ZH-7A pekee.✳️ Ina injini yenye nguvu kuvu...
07/10/2026

📍Chombo cha uhakika kubeba mzigo wako popote kwenye msimu huu wa mvua ni KL250ZH-7A pekee.

✳️ Ina injini yenye nguvu kuvuka vikwazo vikubwa, inatembea KM 35 kwa lita moja ya mafuta na haihitaji matengenezo ya mara kwa mara. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora mkubwa.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

05/10/2026

📍TUNAMTAMBULISHA MWAMBA

Pikipiki iliyokuja kuleta mapinduzi makubwa ya safari, tumefanyia kazi mahitaji yako yote.

🏍️🪖 Ndani ya KL200-9A unapata injini kubwa ya cc 200, Dashbodi ya kidigitali, haina mtetemo kabisa na ina kasi kubwa barabarani. Weka oda yako sasa kwa kupiga simu bure.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

📍CHUMA MPYA IMEINGIA !!Changamoto zako zote zimetatuliwa kwa muundo wa pikipiki hii. Sasa ni mwendo wa kufurahia safari ...
03/10/2026

📍CHUMA MPYA IMEINGIA !!

Changamoto zako zote zimetatuliwa kwa muundo wa pikipiki hii. Sasa ni mwendo wa kufurahia safari bila wasiwasi.

🏍️🪖 KL200-9A imekuja na injini kubwa ya cc 200, Dashbodi ya kidigitali, haina mtetemo kabisa na ina kasi kubwa barabarani. Weka oda yako sasa kwa kupiga simu bure.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

01/10/2026

Tupo kwa matajiri KATORO

Maboresho makubwa yanaendelea katika kuwafikia wateja wetu nchi nzima. Hapa ni dukani kwetu Katoro mkoani Geita ambako utapata bidhaa zetu za pikipiki na Guta zenye ubora.

Kwa maelezo Zaidi tupigie simu bure:
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Pikipiki bora ya safari za uhakika KL200-3 imekuja na maboresho makubwa kukupa kasi na nguvu isiyokoma.✳️* Pikipiki hii ...
28/09/2026

Pikipiki bora ya safari za uhakika KL200-3 imekuja na maboresho makubwa kukupa kasi na nguvu isiyokoma.

✳️* Pikipiki hii ina matairi mapana, siti iliyoinuka kuelekea usukani kukupa wakati mzuri safarini. Tupigie simu bure.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

25/09/2026

Karibu kwenye banda la Kinglon katika maonesho ya mwaka ya Wahandisi hapa Mlimani City.

Kinglion tuna bidhaa bora za mabati na pikipiki kwa ajili yako.

24/09/2026

Maonesho ya Bodi ya Wahandisi Tanzania, katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Kinglion ni moja ya washiriki wake.

Kinglion ndiyo suluhisho sahihi la mabati na pikipiki. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie popote.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

tanzania

Address

Kinglion House, Wakatibado Street, Kijitonyama
Dar Es Salaam
33596

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinglion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share