03/02/2023
Je, unamiliki gari na unaishi Dar Es Salaam? Je unajua inawezekana kutumia kutumia Tsh.10,850 au Tsh.13,950 au Tsh.17,050 au Tsh.23,250 tu kutembea 100 - 250km?
NK CNG AUTOMOBILE CO.LTD
Tunafunga mitungi ya gas salama 💯% kwa gari zote zinazotumia petrol chini ya uangalizi maalum wa chuo kikuu cha teknolojia taifa (DIT) na shirila la gas la taifa (TPDC) kuhakikisha usalama wa mmiliki wa gari na gari lenyewe.
Tuna aina 5 za mitungi ya gas. Tuna mtungi wa 7kg, 9kg, 11kg na 15kg. Na mtungi wa 5kg kwa ajili ya bajaji.
Mtungi unafungwa kwenye gari yako kulingana na uwezo wa engine(CC) yako ya gari.
1. Gari za 990CC - 1200CC tunafunga mtungi wa 7kg kwa gharama ya 1.5Mil. una cover 250km kwa kujaza mtu Tsh.10,850 tu.
2. Gari za 1400CC - 1700CC tunafunga mtungi wa 9kg kwa gharama ya 1.7Mil. unatembea 200km kwa kujaza mtungi wako kwa Tsh.13,950
3. Gari za kuanzia 1800CC - 2800CC tunafunga mtungi wa 11kg kwa gharama ya 2Mil. Unatembea 180km kwa kujaza mtungi wako kwa Tsh.17,050 tu.
4. Gari zote kuanzia 3000CC - 4200CC tunafunga mtungi wa 15kg kwa gharama ya 2.3Mil. Unatembea 150km kwa kujaza mtungi wako kwa Tsh.23,250 tu
5. Mtungi wa 5kg kwa ajili ya bajaji tu na tunafunga kwa gharama ya 1.5Mil unatembea 250km kwa kujaza mtungi wako kwa Tsh.7,750 tu hadi raha yaani, fikiria unaokoa pesa ngapi kutumia mafuta?
Tafakari utakuwa unaokoa kiasi gani cha pesa kutembea hizo km/h kwa kutumia gas badala ya petrol kwa mtungi unaofaa gari yako?
mifumo 2 rafiki ya malipo:
1. Unaweza kulipa kwa cash pesa yote taslimu na ukilipa cash kuna discount unapewa.
2. Unaweza pia kulipa kwa rejareja(instalment) kwa kulipa 60% kwanza kisha baki yake unamalizi ndani ya miezi 3 bila riba yoyote.
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika ofisini kwetu wasiliana nasi kwa namba 0784 948820(Kupiga tu) na 0716 966807(WhatsApp tu)