east_cars

east_cars Kwa ushauri waki taalamu wa magari mbali mbali.Kupata mafundi wa uhakika na mifumo yaki sasa yakuten

07/06/2026

Mtag mwanamke ambae ukipanda gari yake ni k**a umepanda gari ya Rally.

07/06/2026

Ofisi gani ingine ya Serikali iko na gari unique na kalii?? Vp tufanye review basi ya Hio Hyundai Ionic 5😃

06/06/2026

Nyie mnaonaje?? Rush haiwafai leaners? (L) tuambie kwenye Comments, then Subscribe kwenye App yetu ya Casandra uendelee jifunza vitu vingi zaidi kuhusu Magari.

Alotoa hili wazo ni

06/06/2026

Tuambie gari gani ingine unaona imekua overpriced

Endelea kufatilia Content zetu kupitia App ya Casandra leo jiunge nayo playstore au AppStore

05/06/2026

Unajua kua Toyota Rush ina kundi lake la watu wanaotakiwa nunua?

05/06/2026

Unaweza kuangalia full review ta Toyota Rush kwenye Application ya Casandra leo ufahamu ni watu wa aina gani hii gari inawafaa??

04/06/2026

K**a una gari ya Turbo hakikisha una angalia review hata moja tulofanya ambayo tuna zungumzia gari yenye engine ya Turbo utapata mawili matatu ya namna yaku ishi nayo au unaweza tupigia simu kwajilia yakufanya booking ya Orientation ni namna gani unaweza kuishi na hio gari ili idumu muda mrefu.

03/06/2026

Sikilizeni kwa makini kitu tunaongelea hapa k**a una plan yaku nunua Premio au umesha nunua Toyota Premio. Download kisha Subscribe kwenye Application yetu ya Casandra ili ujifunze vitu mbali mbali kuhusu Magari.

02/06/2026

Tuweni makini sana jamani na tairi za magari yetu, tumeshafanya review ya kuelezea namna yaku tambua ubora wa tairi unayo taka funga kwenye gari kuanzia uzito wa mzigo unaoweza beba, speed ya mwisho unayoweza tembea nayo, namna yakujua uwezo wa tairi kutoa maji likiwa barabarani etc.. Unaweza icheki hio video kwenye Application yetu ya Casandra tu Subscribe to it leo inapatikana playstore au AppStore.

02/06/2026

Mnakumbuka Review ya Toyota IST Tulofanya??

Address

11 Msonge Street Mikocheni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when east_cars posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to east_cars:

Share