Essence Driving School

Call Directions Website

Essence Driving School We offer practical and on-time driving training at your own best timetable so as to help you fulfill

Wenye sifa hapo juu. Changamkia nafasi hiyo
05/08/2026

Wenye sifa hapo juu. Changamkia nafasi hiyo

FURSA YA KUJENGA KAZI NA MUSTAKABALI WAKO!naamini una uwezo wa kuongoza, kufanya maamuzi na kujenga timu yenye mafanikio...
15/07/2026

FURSA YA KUJENGA KAZI NA MUSTAKABALI WAKO!
naamini una uwezo wa kuongoza, kufanya maamuzi na kujenga timu yenye mafanikio? Hii inaweza kuwa nafasi uliyokuwa ukiisubiri.

Essence Driving School inatafuta Manager mwenye maono, nidhamu na ari ya kufanya kazi. K**a una kiu ya kujifunza, kukua kitaaluma na kuwa sehemu ya taasisi inayogusa maisha ya watu kila siku, tunakukaribisha kuomba.

Usisubiri mpaka uambiwe umechelewa. Chukua hatua leo!

📲 Tuma maombi yako kupitia WhatsApp: 0693 404 556

Karibu Essence Driving School – Smart Driver, Smart Driving

Happy nyerere day
14/10/2025

Happy nyerere day

Tukiwa ndani ya wiki ya huduma kwa wateja. Wewe ni mteja wetu wa thamani sana tunashukuru kwa kutuchagua na kutuamin. Ka...
07/10/2025

Tukiwa ndani ya wiki ya huduma kwa wateja. Wewe ni mteja wetu wa thamani sana tunashukuru kwa kutuchagua na kutuamin. Karibu essence driving school Kwa mafunzo mazuri na walimu waliobobea

Tunatoaâś…Mafunzo ya udereva ( class D)âś…Mafunzo ya nadharia na vitendoâś…Ratiba rafiki kwa wafanya kaziâś…Malipo ya awamuâś…Vipi...
16/09/2025

Tunatoa
âś…Mafunzo ya udereva ( class D)
âś…Mafunzo ya nadharia na vitendo
âś…Ratiba rafiki kwa wafanya kazi
âś…Malipo ya awamu
âś…Vipindi vya asubuh, mchana au jion
kwa ueledi zaid

Jifunze kuendesha kwa uhodari na ujasiri karibu essence inayoongoza kwa mafunzo bora ya uderevaNa bado tunaendelea na of...
11/09/2025

Jifunze kuendesha kwa uhodari na ujasiri karibu essence inayoongoza kwa mafunzo bora ya udereva
Na bado tunaendelea na ofa yetu

Bado unajiulza n wapi wapi utapata mafunzo ya gari bas jibu umepata essence driving school ndo jibu tosha bado hujachele...
06/09/2025

Bado unajiulza n wapi wapi utapata mafunzo ya gari bas jibu umepata essence driving school ndo jibu tosha bado hujachelewana tena kuna offers ndan ya mwezi huu

Fahari ya kusafiri huanza na lesen yako. Jiunge na essence driving school Leo upate mafunzo bora kutoka kwa walimu wenye...
04/09/2025

Fahari ya kusafiri huanza na lesen yako. Jiunge na essence driving school Leo upate mafunzo bora kutoka kwa walimu wenye uzoefu

Smart driving smart drive

OFFA YA MSIMULIPA KWA AWAMU NA BADO UFURAHIE PUNGUZO LA ADA HARAKA NAFASI NI CHACHEKARIBU ESSENCE DRIVING SCHOOL
04/09/2025

OFFA YA MSIMU

LIPA KWA AWAMU NA BADO UFURAHIE PUNGUZO LA ADA HARAKA NAFASI NI CHACHE

KARIBU ESSENCE DRIVING SCHOOL

Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wetu kwa kufaulu mtihani yao ya udereva na kupokea Leseni zaoKaribu Essence Driving scho...
03/09/2025

Tunapenda kuwapongeza wanafunzi wetu kwa kufaulu mtihani yao ya udereva na kupokea Leseni zao

Karibu Essence Driving school ujifunze kwa weledi na uhakika na ndani ya mwezi huu wa to tisa kuna offa ndani yake sio ya kukosa

Mafanikio yako ndiyo furaha yetu

Address

Mabibo
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 06:30 - 18:00
Tuesday 06:30 - 18:00
Wednesday 06:30 - 18:00
Thursday 06:30 - 18:00
Friday 06:30 - 18:00
Saturday 08:30 - 17:00
Sunday 08:30 - 17:00

Telephone

+255759486913

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Essence Driving School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category