29/09/2025
NISAIDIE KIWAFIKISHIA UJUMBE HUU WADOGO ZANGU HUKO WALIPO
CHUO kinaweza kuwa CHOO
Mkumbushe kuwa Maisha ya CHUO ni sawa na BONGO MOVIE watu wengi huigiza.
Hata yule wa MUSOMA vijijin atasema kwao DAR.
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi.
Anaweza kusoma Uhasibu akawa Dobi...Anaweza somea Ualimu akawa mhudumu wa Bar au Boda boda.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
Wapo watu wenye elimu kumzid yeye ila hawana ajira.
3. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji.
Ila akumbuke anatokea kijijini au wilaya iliyo duni, tena kule ndanindani...
Hivyo asijikweze ili aonekane
4. Mwambie Marafiki wa chuo hubadilika kila baada ya semester. Kuendelea kung'ang'ania wale wa awali ataisoma namba....Akumbuke chuo ndiko Muumini hujifunza kwenda Club..kulewa na kuvaa nguo za ajabu
5. Mwambie makundi makundi chuoni humaliza hundi mfukoni... Atapata marafiki wapenda starehe. Pesa zake zitaisha
6. Mwambie Boom huwa linakuja ila Laki5 ya chuoni sio Laki5 ya nyumbani....hela ya chuoni huisha haraka na bila mpangilio hivyo awe makin ktk matumiz yake
7. Mwambie chuoni hakuna. NDOA ila kuna uzinzi.. Hivyo aachane kubeba majuk ndoa ikiwa kaenda kusoma.
8. Mwambie wahadhiri (Lecturers) wa kitanzania wanatamaa ya ngono hivyo akiwa mvivu darasan bas atafeli na ili apewe Marks itabid awe tayar kumvulia chupi kila muhadhir ambao weng wao wagonjwa
9. Mwambie Chuoni kuna Makanisa na Misikiti. Wanafunzi ni zaidi ya 1000 lakini waumini ni wachache. Akumbuke kusali.
10. Mwambie k**a ni wa k**e kuwa aridhike na hali ya nyumban. Asifikirie kutafuta SPONSOR ili kupunguza ugum wa maisha .. Atajiingiza ktk matatizo makubwa
11. Mwambie kuwa asiwadharau watu alio soma nao nyuma kisa hawajapata nafas kufika chuo.. Siku akimaliza chuo wapo atao wakuta wana biashara kubwa hivyo kumpa kibarua
12. Mwambie Simu na nguo za gharama ni muhimu lakini sio lazima... Hivyo asipende tumia vibaya pesa ambayo anapewa kwa awamu mana siku atazikumbuka akimaliza masomo
13. Mwambie marafiki wanaokuwa naye kipindi hana hela asiwasahau..
14. Mwambie chuoni kuna watumishi wanao jiendeleza..husoma huku wakiendelea kupokea mshahara wengi wao ni waume na wake za wat