AdPower Tanzania

AdPower Tanzania AdPower in Teknolojia Mpya ya Kupunguza Ulaji wa Mafuta katika Gari, vile vile huifanya kuwa na Nguvu zaidi kwa Kurekebisha Mfumo wa Hewa kwa Asilimia 100%.

27/02/2023













25/02/2023
27/01/2023

Save money.... use AdPower

Teknolojia mpya ya kifaa chenye muundo wa stika, kilichogunduliwa na kuthibitishwa nchini Japan, chenye uwezo wa kusaidi...
22/04/2022

Teknolojia mpya ya kifaa chenye muundo wa stika, kilichogunduliwa na kuthibitishwa nchini Japan, chenye uwezo wa kusaidia kurekebisha mfumo wa hewa wa gari yako na kuleta faida k**a:

✅ Kuongezeka kwa nguvu ya engine na uimara
✅ Kupunguza ulaji wa mafuta hadi 30%
✅ Kufanya gari kuwa nyepesi
✅ Kusafisha hewa ya ukaa inayotoka kwenye gari yako

Teknolojia hii ni maalumu kwa magari yaliyotumika (used cars), yanayotumia Petrol au Diesel.

AdPower hufanya kazi kwa kubandikwa kwenye gari ndani ya Air Cleaner, na inawekwa kwa idadi maalumu kulingana na Engine Capacity yani CC ya gari yako.

Mfano: Toyota IST (CC 1300) unaweka AdPower 1, Suzuki Escudo (CC 2500) unaweka AdPower 2 na BMW X6 (CC 3000) unaweka AdPower 3.

BEI: Tsh. 85,000 kwa Piece 1

💥Kwa Wateja waliopo Dar Tunafanya Installation ya AdPower BURE!

Wasiliana nasi kwa WHATSAPP (Bonyeza Kitufe cha WHATSAPP), kuuliza maswali yoyote juu ya AdPower, na upate msaada wa haraka zaidi.

AdPower Tanzania
Phone: 0747 786 304
Whatsapp: 0747 786 304
Website: adpower.cmc.co.tz

Teknolojia ya AdPower ni kifaa (mfano wa stika) kinachowekwa katika mfumo wa hewa wa gari ili kufanya mlipuko kamili (10...
24/02/2022

Teknolojia ya AdPower ni kifaa (mfano wa stika) kinachowekwa katika mfumo wa hewa wa gari ili kufanya mlipuko kamili (100%complete combustions).

Teknolojia hii inaongeza uhai wa engine yako na kusafisha hewa ya ukaa itokayo katika gari yako.

Pia utaona faida ya kupungua kwa ulaji wa mafta wa gari lako hadi kwa asilimia 30% kulingana na ubora wa gari lako.

Teknolojia hii hufanya kazi kwa magari ya Petroli na Diesel na imejaribiwa na mamlaka za Japan k**a vile Japan Automobile Transport Technology Association.

Miongoni mwa faida za mapema utakazozipata ni pamoja na:

✅ Kuongezeka kwa msukumo wa gari (gari kuwa nyepesi)
✅ Kuongezeka kwa spidi ya haraka
✅ Kuwezesha gari kupanda mlima kwa ufanisi
✅ Gari kuongezeka nguvu na engine kuwa smooth and silent

Bonyeza kitufe cha WHATSAPP hapo chini kuuliza maswali yoyote juu ya AdPower, na upate msaada wa haraka zaidi.

AdPower Tanzania
Phone: 0747 786 304
WhatsApp: 0747 786 304
Website: www.adpower.cmc.co.tz

Teknolojia Mpya Kutoka Japan ya Kupunguza Ulaji wa Mafuta kwenye Gari.UTANGULIZIMasaaki Imai  Mkufunzi wa kijapan  wa mi...
22/02/2022

Teknolojia Mpya Kutoka Japan ya Kupunguza Ulaji wa Mafuta kwenye Gari.

UTANGULIZI

Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu k**a “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata k**a ni padogo kiasi gani.

⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini mwetu kutoka UK na Japan ni “USED” maana yake sio vipya na uimara wake umepungua kiasi, haswa kwenye maeneo ya Engine na Body.

⛽ Ulaji wa wa mafuta katika magari haya huwa tofauti na lilivyokuwa jipya (Brand New). Na sababu kubwa sana inayochangia ulaji wa mafuta kwenye gari ni ufanisi katika mifumo ya hewa na kusababisha kuwa na mlipuko hafifu wa engine *(incomplete combustions).

Kumbuka mlipuko wa Engine ndio huipa gari mwendo “energy”.Na mlipuko unapokuwa hafifu ni sawa na kupika chakula na kuni mbichi, utaivisha chakula kwa muda mrefu na moshi utakuwa mwingi sana. Ndivyo ilivyo pia katika gari yako.

🚨 Dalili za incomplete combustions ni pamoja na gari kuwa zito,kutoa moshi wa ukaa,kukosa accelerations nzuri na kula mafuta.

⛽ Mafuta yana gharama kubwa sana kwa mwaka na wengi wetu hatufahamu gharama halisi ya matumizi yetu.

⛽ Hebu fikiria kidogo tu kwamba gari yako inaenda service kila baada ya kilometa 4000 na gari lako lina uwezo wa 1300cc-1500cc na linatumia lita 1 kwa kilometa 12 (12km/litre)


FACTS NI HIZI:

🚥 Baada ya km 3000 utakuwa umetumia wastani wa lita 250 (3000/12)

🚥 Kwa gari hilo hilo ukipata kifaa cha kukuwezesha kufika Km15/Litre utatumia wastani wa lita 200 .(3000/15)

🚥 Ukitoa Lita za awali 250 na lita 200 unapata lita 50 ziada ambazo ni sawa na wastani wa Tsh. 123,700 kwa bei ya mafuta.(Tsh 2,474 kwa petrol)

🚥 K**a unaenda service mara 4 kwa mwaka maana yake unaokoa TZS ngapi? Tsh. 123,700*4= Tsh. 494,800 kwa mwaka.hizi ni sawa na lita 200

🚥 Kwa miaka mitano unaokoa lita ngapi? Kwa miaka 10 ya umiliki wa gari lako je?

TEKNOLOJIA KUTOKA JAPAN

Chuo kikuu cha Tokai University Faculty of Engineering, walifanya utafiti baada ya kugundua magari mengi yanachangia ukaa katika Dunia,na haswa katika nchi zinazoendelea.

Hapo ndipo walipogundua Teknolojia ya AdPower ambayo ni kifaa kinachowekwa katika mfumo wa hewa wa gari ili kufanya mlipuko kamili (100%complete combustions).

Kumbuka moshi unaotoka baada ya mlipuko katika engine ni matokeo ya kutokuwa na mlipuko kamili haswa kutokana na uchakavu katika mfumo wa hewa wa gari.Teknolojia hii inaongeza uhai wa engine yako na kusafisha hewa ya ukaa itokayo katika gari yako.

Pia utaona faida ya kupungua kwa ulaji wa mafta wa gari lako hadi kwa asilimia 30% kulingana na ubora wa gari lako.

Teknolojia hii hufanya kazi kwa magari ya Petroli na Diesel na imejaribiwa na mamlaka za Japan k**a Japan Automobile Transport Technology Association.

Miongoni mwa faida za mapema utakazozipata ni pamoja na:
- Kuongezeka kwa msukumo wa gari( gari kuwa nyepesi)
- Kuongezeka kwa spidi ya haraka
- Kuwezesha gari kupanda mlima kwa ufanisi
- Gari kuongezeka nguvu na engine kuwa smooth and silent

JINSI YA KUPATA ADPOWER YAKO

MAWASILIANO
Piga Simu: 0747 786 304
Whatsapp(bofya link): https://bit.ly/adpowertanzania (0747 786 304)

BEI ZA ADPOWER
Download Document ya Gharama: https://bit.ly/adpower-bei

SOCIAL MEDIA
Instagram: https://www.instagram.com/adpowertanzania/
Facebook: https://web.facebook.com/adpowertanzania/

WEBSITE
url: https://adpower.cmc.co.tz/

AdPower Tanzania.

Address

10346 Sokoine Road
Arusha
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AdPower Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AdPower Tanzania:

Share