06/06/2026
Mashindano ya AA Best Driver Challenge yanaendelea kwa kasi hapa Mombasa!
Madereva wanadhihirisha ustadi, umakini na umahiri wao wakipambana kupata nafasi ya kufuzu kwa Fainali Kuu jijini Nairobi na kuiwakilisha Kenya kwenye Mashindano ya Afrika.
Burudani ni ya hali ya juu, mashindano ni makali, na kuingia ni BURE kabisa. Karibu Bandari Maritime Academy uungane nasi.