29/05/2026
๐ MAZDA DEMIO DELIVERY CHRONICLES ๐๐ฐ๐ช
Driving a wine-red Mazda Demio to Nairobi, I was enjoying the ride mpaka nikafika Utawala.
Out of nowhere, a police officer waved me down.
๐ฎโโ๏ธ "Boss, simama hapo kidogo."
Nikapark.
Akaizunguka gari mara mbili, akaangalia rims, akaangalia interior, akaangalia color.
Then akaniuliza:
๐ฎโโ๏ธ "Hii gari ni yako?"
Mimi: "Hapana boss, naipeleka kwa customer."
Akatulia kidogo akasema:
๐ฎโโ๏ธ "Aah sawa... nilikuwa nafikiria tuongee kuhusu kitu kidogo."
Mimi nikaanza kushtuka. ๐
Kumbe anaendelea:
๐ฎโโ๏ธ "Kitu kidogo yaani lift tu kutoka hapa hadi stage. Hii Demio inaonekana inakunywa mafuta k**a soda." ๐คฃ๐คฃ
Nikacheka nikamwambia:
"Boss, customer akiona mileage imeongezeka atajua kuna mtu alikuwa anatest drive."
Akasema:
๐ฎโโ๏ธ "Basi enda haraka kabla mimi mwenyewe niombe kuendesha." ๐๐
Nikafika kwa customer salama, lakini mpaka leo nikikumbuka "kitu kidogo" ya afande ilikuwa lift, si vile nilikuwa nimefikiria. ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐ฐ๐ช